zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,688
Kuna wakati walishirikiana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na walifanikiwa kushinda maeneo muhimu. Yaani sio kushirikiana maana sera zao zipo tofauti sana ila kuna sera ya kuachiana majimbo mfano western cape hakuna haja ya EFF kujipenyeza na maeneo kma mpumalanga DA inaweza isifanye kampeni kabisa huko na kuacha wapiga kura kuchagua mpinzani mmoja tu kma EFF.Mkuu kupingana kwa EFF na DA kunatokana na Sera na Malengo ya vyama.
Mfano Gauteng ANC ilishinda kwa tundu la sindano 50% pekee.... Lakini wapinzani ssa hakuna aliyefika hata 30% wote waligawana kura kiasi kwamba ANC ingeweza shirikiana na chama kidogo sana kuunda serikali.
Haya makosa yanagharimu upinzani wa Sauzi..... Ila wakishirikiana ANC itakuwa inaangushwa kwa absolute majority.