Demokrasia gani anayolilia Zitto kwa wazungu, demokrasia karibisha mgeni agombee pekee

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
250
408
FUNGO DEMOCRACY!

Zitto ni mmoja wa watu wanaodai Tanzania hakuna demokrasia. Huwa anaenda BBC, DW na VOA kutangaza huu uzushi wake. Mtu ungedhania ndani ya chama chake kuna demokrasia! Toba! Sikiliza hii:

Mtu mmoja tu tena mgeni ndiye kapewa form ya kugombea uraisi. Bora CCM ni mmoja lakini ndiye raisi na Mkiti wao! Hata mpirani humtoi Messi au Ronaldo kisa kila mchezaji apate kucheza!

Kama hiyo haitoshi mgombea wa ACT kajaza form na kajidhamini mwenyewe! Karudisha form haina wadhamini!
Hakuna kutafuta wadhamini.
Wakikutaka sawa wasipokutaka shauri yao!

Hii ndiyo FUNGO DEMOCRACY!

Ndio chama kinajinasibu kina demokrasia na eti nchi haina!

ACT WASALITI demokrasia?

FB_IMG_1595210407565.jpg
 
Hivi vyama vya upinzani ni upuuzi mtupu. Wahahubiri demokrasia wasiyo ifanya. Zitto ni kiongozi mkuu wa chama nafasi ambayo haigombewi na kupigiwa kura.
 
Hivi vyama vya upinzani ni upuuzi mtupu. Wahahubiri demokrasia wasiyo ifanya. Zitto ni kiongozi mkuu wa chama nafasi ambayo haigombewi na kupigiwa kura.
Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mataahira fulani. Huhubiri wasichokitenda.
 
ACT haikuwa na mgombea kabla ya Membe hakuna memba aliyejitokeza kudai form , demokrasia ipi iliyominywa? wabongo tuache majungu na unafki uchumi wa kati tuseme ukweli tupu sisi ni matajiri!!
 
Back
Top Bottom