Demokrasia East Afrika Ndio Wasiwasi Mkubwa EAST AFRICA COMMUNITY Kufanikiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demokrasia East Afrika Ndio Wasiwasi Mkubwa EAST AFRICA COMMUNITY Kufanikiwa?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by niweze, Jan 3, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vongozi Wote wa East Africa Ndio Tatizo na Vikwazo kwa Malengo ya East Africa Community.

  [​IMG]

  Demokrasia Ndani ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na Rwanda Itatoa Direction na Mafanikio ya EAC. Wananchi Tunajua Kuna Uwezekano wa Mafanikio Lakini Kwa Sasa Wananchi Hatuoni Mafanikio Ila Mafisadi Hasa Wahindi Walio Lobby Kupata Hii Business Environment. Ukweli ni Kwamba "Political Stability" Go Hand in Hand With True Development of the People.
   
Loading...