Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika.
Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia.
Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea kuanguka baada ya waasi wa Tigrey kukalibia kuteka mji mkuu Addis Ababa. Matukio ya aina hii tulizoea kuona miaka ya 60s 70s 80s 90s.
Je hii ni dalili ya utawala wa kiraia na Kidemokrasia kutoweka Africa.