Elections 2010 Democracy defaulted

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,045
2,000
Her hands bound and stretched
Between heaven and earth
Her life almost snatched
As her skin torn, in gory
She screams and cry
In anguish she sustain excruciating pain
Her tormentor mercilessly punish her
Her skin plucked out
The pointed whips on her back
She faints!


As people watch and take sides
Others praises the oppressor
While others lament for the oppressed
But no one is left without a side
Cheerfully others dance and sing
Claiming victory against her
She falls on the ground, no one helps her!
Ravaged, broken and abandoned
She refuse mercy, she refuse pardon


For my People I will endure this
She says,
I will not be broken for I am strong
I will not bow when their sword split my being
The blood will flow as a witness
Of Injustice against the will of my people
As my body weakens, my heart remain strong
My intellect sharp, my resilience untamed


I survived the Nazis, I survived the Russians
I survived the Mugabes, as well as the Ukrainians
I am still standing, broken but not defeated
Hurt but not silenced!


I am hope defaulted
I am dream unfullfilled
I am change tasted
I am faith gained
I am love desired
I am the enemy to your regime
I am the worst to your team
I am the best of the best

You know me
You will remember me
Your children will sing my praises
And your children’s children will restore my honor


MY NAME IS DEMOCRACY
UNBOWED, UNSHAKEN, UNDEFEATED!

By. M. M. Mwanakijiji (The Voice of the Village)
 

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,206
2,000
Jibu ni Katiba mpya na Tume ya uchaguzi huru, bila hivyo CCM itakuwa madalakani maisha yetu yote. Rais Dr. Slaa na wanaharakati wote tudai katiba mpya yenye kupunguza madalaka ya Rais.
 

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,213
2,000
Democracy has long been a visitors rug. However how much she claims innocent, trustworthy, open hearted; as long as she is still fragile, she is always a sucker who needs to be a sucker punch to take her tormentors by surprise
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,230
2,000
Umenena maneno mazito MMJ, nami katika kuyatafakari haya maneno nimejikuta nikiingiwa na hofu zaidi badala ya tumaini. Maana katika kufikiri hawa washangiliaji wa pande zote mbili yaani democrasia na mkandamizaji wamekuwepo pamoja milele zote. Mfano nionyeshe taifa lolote chini ya mbingu lililofanikiwa kuondoa ubaguzi ama matumizi ya nguvu dhidi ya haki kwa asilimia mia. Jibu ni hakuna! Imenibidi pia kukumbuka maneno ya wenye haki katika kitabu cha Malaki walipokaa kwa pamoja na kumlalamikia Mungu kwamba wasio haki nao wamjaribuo Mungu ndio hufanikiwa. Jawabu lililotoka kwa Mungu juu yao ni kwamba wasubiri maana zinakuja siku ambapo kwa hakika watapambanua kati ya waovu na wenye haki, kwani wakati huo wenye haki watakuwa wakiyakanyaga mavumbi ya waovu sababu watakuwa wameangamizwa. Sasa mimi sina shaka na ahadi hii, bali hofu yangu ni hata lini hawa waovu wataachwa wakinawiri kwa dhulma ya wenye haki wengi? Hili linanihuzunisha zaidi kufikiri kwamba Muumba wetu ameyaridhia haya yote mawili hata hapo itikapokuwa mwenyekuitawala dunia sii tena binadamu bali Mungu mwenyewe. Historia mbaya inayobaki nyuma ya hao watawala dhalimu haitoshi kuwa hukumu stahiki kwao kwani mali walizojipatia kwa dhulma hubaki zikiwanufaisha vizazi vyao baada yao. Pia ukwasi huo wakidhalimu ni mbegu tosha iliyobaki kuendeleza uharamia dhidi ya haki. EEH MAMA DEMOCRASIA NI LINI UTAWEKWA HURU BILA KUWA NA MPINZANI? NAAM INAWEZEKANA NAMI NATUMAINI ITAKUWA HIVYO KATIKA SIKU SIKU MOJAWAPO YA UHAI WA KIZAi.ZI CHA ADAMU!!!
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,829
2,000
jibu ni katiba mpya na tume ya uchaguzi huru, bila hivyo ccm itakuwa madalakani maisha yetu yote. Rais dr. Slaa na wanaharakati wote tudai katiba mpya yenye kupunguza madalaka ya rais.

asante sana msafiri. I couldn't say better

logic will always prevail
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom