Demiss amepotelea wapi?

Thubutuuuu ten kama wee na uzee huooo itabidi nibebe kabisa ma RL, D5

Kwaajili ya kukuongezea Maji na sukari

Usijeee kunifiaaa kitandani mamaeee


Sasa kama MTU kukojoaaa naanzia dakika 40+++ mpaka lisaa usheee

Hiyo ligi unaiweza????? utakufaaa maninaaa
hujatulia weweee...!hujaacha utoto kumbe!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu tugange yajayo.

Ila kama utahitaji nimuelezee kwa uchache

Nitatumia maneno matano tu

Wangari ni Malaika aliyetoroka Mbinguni.


Kama ni Kwa emoji ,ningetumia mbili tu

!! ( yaan ni mwanamke anayeweza kua chanzo cha Machozi, nabado akawa yeye pekee wakukufanya UCHEKE.).
We mwamba ulimzimikia huyu manzi...daahh!yaani unatamani siku zirudi nyumaapole sana!!!utapata mwingine

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom