DELL WINDOW 7 lakini haiwezi kuingiza program za Microsoft

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Jul 27, 2018
152
220
Naomba msaada katika Hilo maana Mimi mgeni katka kutumia kompyuta na nahitaji kuitumia katika Mambo ya shule lakini haifungui mafile muhimu Kama Excell, Microsoft word na mengne.kama nakosea kuyafungua ntumie njia gani pale inapoandika "open with"
 
Kwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.
Ila kama vipi right click chagua open with itakuletea progs zilizomo chagua program husika halafu tick sehemu ilipoandikwa always use the selected program to open this kind of file kisha piga ok.
 
Huwa kikawaida mafile ya excel na word hayafunguki mpaka uweke program ya microsoft office.

Tuanzie hapa hiyo computer yako imeekwa microsoft office? Ukiwasha kwenye desktop unaona icon zilizoandikwa word, excel etc.

Hayo mafile ya word na excel yana icon kwa nyuma?
 
Nadhani kweli hili ndilo tatizo la mleta mada pc yake inakuwa inamiss MS office Mkuu
 
Kwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.
Ila kama vipi right click chagua open with itakuletea progs zilizomo chagua program husika halafu tick sehemu ilipoandikwa always use the selected program to open this kind of file kisha piga ok.
Kila nnpojaribu kuweka hiyo Microsoft office nashindwa maana nikidownload haifungunguki
 
Kwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.
Ila kama vipi right click chagua open with itakuletea progs zilizomo chagua program husika halafu tick sehemu ilipoandikwa always use the selected program to open this kind of file kisha piga ok.
Utaalamu was kujua program ipi inafaa kufungua hayo mafile ndio Sina
 
Mkuu kama huna office program kwenye computer yako ni mpaka uweke otherwise hata ukiopen with ukafuata hizo njia huwezi kuikuta huko. Na ukiweka office mafile yako yatajiset automatically utaclick tu yafunguke kwenye prog husika
 
Napataje hiyo Microsoft office kiongoz
 
Back
Top Bottom