kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,616
- 1,763
Nikitaka kuichaj inaonesha plug in not charging mwenye uwelewa anisaidie Wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakupata mkuuSystem charge/battery hamna tatizo kweli mkuu hapo??
Adapter, battery na mfumo wake yaani..kati ya hivyo kuna kimoja wapo kibovu namaanisha mkuuSijakupata mkuu
Huyu huwezi kumuelewa mkuu kwa sababu interest yake kubwa ni kuwa wa kwanza kucomment kwenye uzi na siyo kujibu swali lako vizuri!Sijakupata mkuu
Nikichajia na chaji nyingine inapeleka bettry ni masaa 4 mkuukwa haraka haraka hapo betri ni kimeo!!!!
hahhahahaaaHuyu huwezi kumuelewa mkuu kwa sababu interest yake ni kuwa wa kwanza kucomment kwenye uzi na siyo kujibu swali lako vizuri!
Mkuu sijaelewa ata kidogojarib hii:
CHOMOA adapter kwenye umeme, chukua head-pin kale unakachomekaga kwenye laptop, unga wire ili positive(ndani) na negative(nje) iungane, shikilia kwa dakika 2 then jaribu
Una tatizo na power adapter unayotumia kucharge. Tumia Dell original adapterNikitaka kuichaj inaonesha plug in not charging mwenye uwelewa anisaidie Wakuu
Na HP inakuaje Mkuu?Tatizo linaweza kuwa ni la software au hardware cha kufanya
ili kujua kama ni hardware (charge yenyewe) jaribu ku charge kwa kutumia charge nyingine au chukua charge yako ijaribu kwenye computer ya mtu mwingine kama charge yako ndio tatizo cha kufanya
kumbuka solution hii ni kwa dell laptop: Kama ww una idea na electronics ifungue, upande wa secondary wa charge yako kuna transistor ilio karibu kabisa na waya wa kupeleka charge kwenye pc mara nyingi dell zina waya tatu +v(vcc), -v(ground) na watatu ni wa current limiting ule ambao ukiangalia ktk kichwa pale unauona kwa ndani kama kisindao transistor ile ina unganishwa ktk waya huu wa current limiting mara nyingi huwa inaharibika na kupelekea tatizo, hivyo kubadilisha baranyingi una solve tatizo.
kama ni software(umejaribu ku charge ktk pc nyingine charge iko fresh) cha kufanya anza kwa ku chomoa battery kisha chomoa charge kisha bonyeza button ya power kwa kama sekunde 40 kisha achia chomeka tena vyote jaribu ikigoma Update BIOS
Conclusion
Mara nyingi tatizo hilo lipo kwenye dell laptops na linasababishwa na charge yako na kubadili charge au ku repair ndio kuna solve tatitizo. Fanya hivyo then nipe feedback
Ndg naomba unisaidie mm ninatumia window 8Ni tatizo la windows 10.
Nimeshakutana na hilo swala mara kadhaa.
Mimi natumia Hp mara kadhaa huwa napata meseji hiyo, Huwa nafanya hivi na tatizo linakwisha.Na HP inakuaje Mkuu?