Dell latitude d620 inauzwa Tshs 250,000

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
del latitude d620
ram 2gb
Hard disc 80gb
duo processor
power 3hour.
haina adaptor.

Napatikana Moshi, kwa mwenye uhitaji anipm!!!
 
maliza na adapter kbs iyo 2 malize io mambo....upo ktk condition poa lakini au?napita moshi by 2mr mchana kuelekea mwanga/ soonreply pliiiz!!
 
del latitude d620
ram 2gb
Hard disc 80gb
duo processor
power 3hour.
haina adaptor.

Napatikana Moshi, kwa mwenye uhitaji anipm!!!

Iko kwenye hali nzuri lakini mkuu? Uko maeneo gani nije kuikagua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom