October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,995
340,000/= nakupa.
Hapana na Asante340,000/= nakupa.
Generation yake IPI?.400k unapata hp laptop ,intel core i5 ,processor 2.5Ghz ,HDD 500GB ,RAM 4GB..
View attachment 1102755
Fafanua HDD vs SSDSasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
Me mwenyewe nasubiri jibu...Gemerstion ipi na ipo katika condition ipi?? Baterry life yake ?.Generation yake IPI?.
Generation yake IPI?.
generation : fourth generationMe mwenyewe nasubiri jibu...Gemerstion ipi na ipo katika condition ipi?? Baterry life yake ?.
Kwa hyo generation ndo maana hyo beigeneration : fourth generation
battery life : 3 - 4 hours kutegemea na programs ngapi unazo run..
Kwa hyo generation ndo maana hyo bei
The higher the generation the more the performance ratio....the more the performance ratio the higher the pricegeneration hai determine bei mzee mana kuna intel core i7 na i5 unaeza kuta zote ni same generation but bei zinatofautiana..
Soma hapo juu ofa za wenzio zilizokataliwaMm nina 350
0629079452
SOLD. SOLD SOLD. SOLD SOLD SOLD SOLDSasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole