Dell E5430 inatatizo la kutopitisha chaji

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Habari zenu wakuu hii pc yangu kuna inaingiza chaji inaenza kaa hata muda mrefu alfu badae ikaandika not charging Kama leo ni siku ya pili inanigomea kuingiza chaji wakuu msaada tafadhari.

Napia kuna muda ukiwasha inaleta Disk error.

Natumia windows Ten pro
 
Back
Top Bottom