Delivery ya mizigo midogo Mbeya Mjini, Songwe na Mbozi (Mlowo na Vwawa)

Elivate

Member
Mar 18, 2021
72
150
Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha.

Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami kupitia: 0742720822(whatsapp/kawaida)

Ahsante kwa muda wako.🙏🏾
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,641
2,000
uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo
Hii huduma ni muhimu na ina wahitaji wengi hasa kwenye miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza.

Vijana waaminifu wajitokeze, wajitangaze na hakika watapata wito wa kazi toka kwa wadau waliopo hayo maeneo.

Hongera kwa kuanziasha hii huduma hapo mbeya/songwe.
--
Huduma yako itakapo kuwa kubwa kutokana na uhitaji wa watu:
  • Fungua ofisi
  • Sajiri kampuni yako
  • Ongeza vijana(utakao waajiri) wa kushirikiana nao ili kuhakikisha ofisi yako inafanya kazi kwa ufanisi zaidi.
 
Elivate

Member
Mar 18, 2021
72
150
Hii huduma ni muhimu na ina wahitaji wengi hasa kwenye miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza.

Vijana waaminifu wajitokeze, wajitangaze na hakika watapata wito wa kazi toka kwa wadau waliopo hayo maeneo.

Hongera kwa kuanziasha hii huduma hapo mbeya/songwe.
Shukrani mkuu, cha muhimu ni uthubutu na uaminifu mkubwa katika kazi. Nimeanza na gari ndogo moja na pikipiki. Ujana ndo muda wakuchakarika.💪
 
othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
3,068
2,000
Shukrani mkuu, cha muhimu ni uthubutu na uaminifu mkubwa katika kazi. Nimeanza na gari ndogo moja na pikipiki. Ujana ndo muda wakuchakarika.
Humu jf msiamini kila anayekuja na matangazo ya aina hii, wengi sio watu wazur,

Bado kuna kesi nyingi tu wahusika hawajapatika na sources zao ni humu jf

Bado wale watu wa baya wa kipindi cha mchatel wapo kazini so be careful
 
Elivate

Member
Mar 18, 2021
72
150
Humu jf msiamini kila anayekuja na matangazo ya aina hii, wengi sio watu wazur,

Bado kuna kesi nyingi tu wahusika hawajapatika na sources zao ni humu jf

Bado wale watu wa baya wa kipindi cha mchatel wapo kazini so be careful
Duely noted, tatzo kwangu labda liwe kwa mteja tu pembeni na hapo i am a credible freelancer.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom