Delhi India: Zaidi ya watu 43 wamefariki baada ya kiwanda kulipuka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,396
Mlipuko huo ametokea asubuhi ya leo na imeelezwa kuwa wengi wa waliofariki ni Wafanyakazi wa Kiwanda hicho waliokuwa wamelala

Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio na kuendelea na juhudi za kuuzima moto huo pamoja na kufanya kazi za uokoaji

Hata hivyo inahofiwa kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka


========
More than 43 people have been killed in a large fire at a factory in the Indian capital, Delhi, officials say.

The blaze broke out in the early hours of Sunday morning in the city's old quarter, and fire engines rushed to the scene.

Dozens of workers were sleeping inside the multi-storey building at the time, according to rescue services.

Home Minister Amit Shah called it a "tragic loss of precious lives".

The area where the factory is located is home to one of the city's largest markets and many narrow laneways, making it difficult for firefighters to reach the blaze.

More than 50 people were rescued and rushed to hospital, police told the AFP news agency.

-BBC-
 
Mambo ya health and safety hayakuzingatiwa hapo. Kuna somo la kujifunza, uchunguzi ufanyike na makosa yasirudiwe tena siku za mbele
 
Watu 43 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya moto kuunguza kiwanda kimoja katika mji wa New Delhi mapema leo. Msemaji wa jeshi la polisi Randhawa amesema wengi wa waliofariki walikuwa ni wafanyakazi waliokuwa wamelala kwenye ghorofa za juu za jengo hilo la ghorofa nne lililopo katika eneo la Anaj Mandi, New Delhi.

Amesema zaidi ya watu 60 walitolewa nje ya jengo na 43 miongoni mwao wamefariki na hasa kutokana na kuvuta hewa chafu ya moshi, na kuongeza kuwa kiasi watu 15 hadi 20 wanatibiwa katika hospitali za karibu na eneo hilo. Polisi wawili na askari wawili wa jeshi la zimamoto pia wameathirika. Waziri mkuu wa India Narendra Modi ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao huku akilielezea tukio hilo kuwa lilikuwa la kutisha mno.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom