leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 80
- 42
hata hiyo ina usb port, so flash, external hdd inacheza kama kawa,,, hiyo ni deki ya hometheater mzee babaIvi kuna watu bado wanatumia Dvd / Cd , mm ni mwendo wa Usb / external Hdd nachomeka ktk Flat Tv movie kama kawa
Unauza deki pekee au na speaker zake?h
hata hiyo ina usb port, so flash, external hdd inacheza kama kawa,,, hiyo ni deki ya hometheater mzee baba
nauza deki pekeeUnauza deki pekee au na speaker zake?