Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

Kwa hii inxhu ni kwel kbsaa me huwa inanitokea sana yaan nahs hii sehem naifaham vzr lakin sna kumbkumb kwamba nilwah kufka lin? na mwaka gan ila nakuwa napafaham frexh kbsaa
 
. Unataka kuniambia miaka millions kadhaa au mia kadhaa au laki kadhaa huo mgahawa ulikuwepo?
Au hao wahudumu walikuwepo? Vip chakula ulichokula hapo mgahawani kuna aliyekuwa na ufundi wa kukiandaa? achilia mbali zamani hizo za miaka unayodhani uliishi sidhani kama kulikuwa kuna technology ya kujenga huo mgahawa.

Mtazamo wangu ni kwamba, wewe uliingilia mawasiliano ya eneo hilo muda mfupi sana wakati unaingia eneo hilo kuanzia muonekano/mandhari, watu, chakula na mpaka wewe mwenyewe ulojidukua.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ulijishuhudia.
Sometimes meditation husababisha hali kama hizi.
Ukifanya sana meditation kuna muda unaweza hata kuyachezea maisha yako ya miaka 20 au hata 50 iliyopita kulingana na umri wako.
Kushuhudia maisha yajayo(kama ilivyokutokea) mara nyingi hutokea automatic japo kuna watu wana uwezo wa kuyaona, kuyasikia, kuyahisi, na hata kuyabadili au kuyaepuka endapo hawatapendezwa nayo na ndio maana kuna mtu hata akitafutwa na dunia nzima sio rahisi apatikane.
Hata wewe siku hiyo kama badala ya kuona utaulizwa maswala ya mchele uone utachomwa kisu ingekuwa hivo.
Inashauriwa na walimu wa utambuzi kwamba, kama utashuhudia mabaya juu yako kwa namna hiyo basi ondoka eneo hilo mara moja!
Na kama umeshuhudia mabaya kwa mwenzako kwa namna hiyo basi mtaarifu au fanya liwezekanalo kumsogeza pembeni kidogo ili tu yasimpate kwa maana ulichokishuhudia ndicho kinafuata sekunde chache zijazo.

KUNA WATU WENYE UWEZO WA KUSOMA RAMANI NZIMA YA WEEK MBELE AU MWEZI MZIMA NA HATA MWAKA NA MIAKA
 
Kuna series moja ina itwa lost season 3 episode kama za 2-6 hii deja vu imekuwa ndio scene kuu ...hii ndio kumaanisha haya mambo ni ya kiimbani kama wengine wanavyo amino kwenda peponi na motoni hakuna..lakini pia deja vu ni kipawa sio kila mtu anaweza Ku recognize hyo situation so kama ni mfatiliaji wa mambo lazima utakuwa confused ila ukweli ni kwamba we(bodies) exist on present that is past to our souls,(spirit)
Kila mtu anao uwezo huo sema wengi hupuuzia tangu wakiwa watoto

Unakuta unakatakata Mboga alafu ghafla unaduwaa na kuona kabisa utakata kidole na namna jeraha litakavyokuwa, badala uweke kisu chini unakishusha mara 1 tu na maono yako yanatimia.

Huko ni kupuuza maono uliyoyaona mchana kweupe tena ukiwa macho
 
Mimi hii hali huwa inanitoke mara kwa mara, tena huwa nashangaa kabisa na kuna wakati namwambia mtu kabisa hichi kitu nilishakiona na kuna wakati huwa naogopa kuwaza hivyo hasa kama kitu ni kibaya maana asilimia kubwa ni Iazima vinatokea.
Ni kweli ndugu.
Ukiona ni kibaya fanya kuyahakiki mazingira uliyoyaona akilini alafu uyaepuke haraka sana!
Mfano kama umeona fulani kafa, moja kwa moja angalia mazingira ya kifo chake.
Kama aligombana na fulani alafu fulani akamuua, wewe cha kufanya ili kumuepusha na mauti inatakiwa u mwambie kabisa akae mbali na huyo mtu au wewe umtenge mbali na huyo mtu au umtenge huyo muuaji na kwa namna yoyote ya amani na upendo eidha kwa kumtafutia mmoja kati yao safari.

Ni rahisi tu hata kama umeona mama, baba, ndugu yeyote atakufa leo au kesho, wewe angalia tu mazingira ya kifo chake kisha uyabadili hayo mazingira.
Kama anaumwa wewe ukaona akilini amefia muhimbili, mhamishe umpeleke hospital nyingine.
Kama umeona kafia njiani basi usimpeleke hospital umuitie doctor nyumbani au kama ni lazima aende hospital bas chunguza hiyo njia na ukiijua msiipite wakati mnampeleka
 
Kuna kitu tunachezewa wanadamu kuna movie flan iv niliangaliaga wataalam walitengeneza watu wakawaweka katka kijiji fulan,na waliwaumbia maisha safi na kila ikifika muda fulan wanabadili akili na tabia.
 
Huyu mleta mada ni Dr. Na hiki anachofanya ni Research kujua tatizo la akili. Nyie Tiririkeni tu
 
hujawah kukutana na mtu mara ya kwanza kabisa lakini unahisi ushawahi kumuona sehemu?? na unamuuliza anakataa kata kata hajawahi kukuona....lakini moyoni unajiambia "hapana I have seen this fella before"


naunga mkono hoja.....hizi Mambo zimenitokea several times
Mmmhh!!!! Mkuu hebu ongezea point na kamfano kidogo
 
There are only two worlds. The world within and the world without.
The world within creates the world without.
The world within is mental/spiritual, the world without is material/physical.
Complete understanding of the two worlds is perfect knowledge.
The key is to understand the world within and use it to rule the world without.
The world within is the cause, the world without is the effect.
The inner governs the outer always. The outer is a reflection of the inner.
The outer conditions mirror the inner consciousness.
The world within and the world without are not two separate worlds. They are two different levels of the
same world.
The world is mental. All is mind, the universe is mental. As above so below, as within so without. This is
secret knowledge
What do you mean " perfect knowledge "??
 
Ilishawah nitokea hiyo hali mo thn 4 ama 5 times. Niliishuhudia tu mwenyew kila kikitokea nakumbuka hili lishawah kutokea. Ila moja ilikuwa kubwa kuliko nhadi ikapelekea nipate mfedheheko na kujiona labda nina tatizo la kichwa.. Nina rafiki mmoja tu nnae mwamini na kushauriana nae kwenye mambo km haya,nlitoka dsm hadi singida kumtafuta huyo jamaa,nlipomuelezea situation ilonikuta alichonijibu ni kwamba HATA YEYE HUWA INAMTOKEA KABISA na alipoonana na watu flani wakamwambia ni MASWALA YA SPIRITUAL TUU.hii hali ipo. Nashukuru mungu kumbe huwatokea wengi tuu
Huyo rafiki yako ni mganga nini??
 
Labda hujaielewa déjà vu ikoje mkuu ila almost every humna being with healthy mind amepitia déjà vu...!

Jitahidi uielewe ndio utajua hamna past, future wala nini we have one moment ambao ni present tu...yaani now.

Nadhani sijaelewa, ila umezidi KUNICHANGANYA ZAIDI, kama tuna present tu, je wakati umezaliwa hadi sasa ni present tu? au dejavuu ndio siielewi kabisaaa
 
Nadhani sijaelewa, ila umezidi KUNICHANGANYA ZAIDI, kama tuna present tu, je wakati umezaliwa hadi sasa ni present tu? au dejavuu ndio siielewi kabisaaa
Myahudi hii iko deep zaidi...naamini akili yako ni active sana..nikikaa chini nikatengeneza nondo thabiti utanielewa vizuri mkuu.
 
exac
Kumbe sio Mimi peke yangu..ahahaha!! Huwa nafurahi sana nikiishi maisha na ubongo wangu ukatambua nimekwisha ishi hayo Maisha ya hivyo zamani...yaani yakijirudia!

Kuna moja nilifika sehemu nikaitambua kuliko na early scenario nikakumbuka then nitakutana na mtu nisietaka kukutana nae..then kabla sijafanya chochote akatokea jamaa niliekuwa sitaki kukutana nae. I was like wow! Wow!
exactlly mkuu, huwa inanitokea sana
 
Back
Top Bottom