Silvester Kapala
Senior Member
- Aug 26, 2017
- 140
- 103
Kwa hii inxhu ni kwel kbsaa me huwa inanitokea sana yaan nahs hii sehem naifaham vzr lakin sna kumbkumb kwamba nilwah kufka lin? na mwaka gan ila nakuwa napafaham frexh kbsaa
Kila mtu anao uwezo huo sema wengi hupuuzia tangu wakiwa watotoKuna series moja ina itwa lost season 3 episode kama za 2-6 hii deja vu imekuwa ndio scene kuu ...hii ndio kumaanisha haya mambo ni ya kiimbani kama wengine wanavyo amino kwenda peponi na motoni hakuna..lakini pia deja vu ni kipawa sio kila mtu anaweza Ku recognize hyo situation so kama ni mfatiliaji wa mambo lazima utakuwa confused ila ukweli ni kwamba we(bodies) exist on present that is past to our souls,(spirit)
Ni kweli ndugu.Mimi hii hali huwa inanitoke mara kwa mara, tena huwa nashangaa kabisa na kuna wakati namwambia mtu kabisa hichi kitu nilishakiona na kuna wakati huwa naogopa kuwaza hivyo hasa kama kitu ni kibaya maana asilimia kubwa ni Iazima vinatokea.
Movie gani hiyo???Kuna kitu tunachezewa wanadamu kuna movie flan iv niliangaliaga wataalam walitengeneza watu wakawaweka katka kijiji fulan,na waliwaumbia maisha safi na kila ikifika muda fulan wanabadili akili na tabia.
Mmmhh!!!! Mkuu hebu ongezea point na kamfano kidogohujawah kukutana na mtu mara ya kwanza kabisa lakini unahisi ushawahi kumuona sehemu?? na unamuuliza anakataa kata kata hajawahi kukuona....lakini moyoni unajiambia "hapana I have seen this fella before"
naunga mkono hoja.....hizi Mambo zimenitokea several times
Mmmmh!!!! Utakuwa una mapepo weweMimi hali ambayo huwa inanikuta Mara nyingi na sijapata jibu hadi Leo ni kwamba "naweza nikawa naimba wimbo flani " kimoyo moyo" ghafla nikamsikia mtu pembeni yangu anaanza kuuimba wimbo ule ule"
What do you mean " perfect knowledge "??There are only two worlds. The world within and the world without.
The world within creates the world without.
The world within is mental/spiritual, the world without is material/physical.
Complete understanding of the two worlds is perfect knowledge.
The key is to understand the world within and use it to rule the world without.
The world within is the cause, the world without is the effect.
The inner governs the outer always. The outer is a reflection of the inner.
The outer conditions mirror the inner consciousness.
The world within and the world without are not two separate worlds. They are two different levels of the
same world.
The world is mental. All is mind, the universe is mental. As above so below, as within so without. This is
secret knowledge
Huyo rafiki yako ni mganga nini??Ilishawah nitokea hiyo hali mo thn 4 ama 5 times. Niliishuhudia tu mwenyew kila kikitokea nakumbuka hili lishawah kutokea. Ila moja ilikuwa kubwa kuliko nhadi ikapelekea nipate mfedheheko na kujiona labda nina tatizo la kichwa.. Nina rafiki mmoja tu nnae mwamini na kushauriana nae kwenye mambo km haya,nlitoka dsm hadi singida kumtafuta huyo jamaa,nlipomuelezea situation ilonikuta alichonijibu ni kwamba HATA YEYE HUWA INAMTOKEA KABISA na alipoonana na watu flani wakamwambia ni MASWALA YA SPIRITUAL TUU.hii hali ipo. Nashukuru mungu kumbe huwatokea wengi tuu
Labda hujaielewa déjà vu ikoje mkuu ila almost every humna being with healthy mind amepitia déjà vu...!Dejevu sijawahi nitokea
Labda hujaielewa déjà vu ikoje mkuu ila almost every humna being with healthy mind amepitia déjà vu...!
Jitahidi uielewe ndio utajua hamna past, future wala nini we have one moment ambao ni present tu...yaani now.
Myahudi hii iko deep zaidi...naamini akili yako ni active sana..nikikaa chini nikatengeneza nondo thabiti utanielewa vizuri mkuu.Nadhani sijaelewa, ila umezidi KUNICHANGANYA ZAIDI, kama tuna present tu, je wakati umezaliwa hadi sasa ni present tu? au dejavuu ndio siielewi kabisaaa
Myahudi hii iko deep zaidi...naamini akili yako ni active sana..nikikaa chini nikatengeneza nondo thabiti utanielewa vizuri mkuu.
Tuko pamoja mkuu. Stick around myahudi jr
exactlly mkuu, huwa inanitokea sanaKumbe sio Mimi peke yangu..ahahaha!! Huwa nafurahi sana nikiishi maisha na ubongo wangu ukatambua nimekwisha ishi hayo Maisha ya hivyo zamani...yaani yakijirudia!
Kuna moja nilifika sehemu nikaitambua kuliko na early scenario nikakumbuka then nitakutana na mtu nisietaka kukutana nae..then kabla sijafanya chochote akatokea jamaa niliekuwa sitaki kukutana nae. I was like wow! Wow!
Passenger - David.Usiache kunitag bwana David