Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Good day, good people!

Déjà vu ni neno lenye asili ya kifaransa likimaanisha "already seen, lived" yaani unakutana na situation, event, scenario au hali yeyote ambayo unakuja kugundua ulishawai kuishi hiyo hali au hayo maisha ya muda huo zamani iliyopita. Hiyo ndio inakuwa déjà vu. Yaani akili yako na roho yako inakiri kabisa ulishawai kuona, kukutana au kuhisi kitu flani hapo zamani but umekutana nacho tena ukiwa na umri huo huo na muda huo huo..then akili na nafsi yako zinakiri kabisa Ku experience na kuishi that situation before. Then that's déjà vu.

Kilichonifanya nikaandika haya ni kwamba Leo Niko hapa kigali, Rwanda sehemu moja inaitwa kanombe....nilikuwa nataka kupata lunch hivyo nikajikuta nimeenda straight hadi kwenye restaurant ambayo nikajikuta nahifahamu kwa jina though iko Rwanda na sijawahi kufika before..hii nikaignore but nilipoingia ndani mhudumu aliekuja kunihudumia alikuwa anamuita yule wa kaunta mama na alinisemesha kinyarwanda nikamuelewa vizuri ilhali sijui kinyarwanda kabisa then nikaletewa msosi nilipoanza kula nikajikuta naijua scenario nzima itakayotokea hadi mwisho wake ambapo nilihisi wataniuliza juu ya bei na upatikanaji wa Mchele wa bongo... Na kweli mwishoni kabisa wakaniuliza juu ya Mchele wa bongo. Akili yangu ilikuwa imepigwa butwaa maana yale maisha Ninakumbuka niliwahi kuyaishi mwanzoni..but this time imetokea Rwanda hadi mgahawa naujua tena Kwa jina then hadi vitendo vyote. Wow! What's behind this? Labda kabla ya kuzaliwa niliwahi kuishi Rwanda? Sijui? Sasa nimeyajuaje kuanzia mazingira hadi mgahawa? I'm confused vibaya hapa!

Kimsimgi baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimehisi kuna possibility our spirits might be very old...kabla hatujazaliwa kuna uwezekano tulikuwa tunaexist million of years back maana nina uhakika roho zetu zinauwezo wa kutambua hata maeneo, sura, vitu n.k tulivyovipitia miaka ya nyuma sana hivyo zilishawai kuyaishi hayo maisha husika.

Na kwa kupitia déjà vu nimeanza kuamini kwamba binadamu tunaishi kwenye illusion ya space and time and we are immortal and exist forever in the universe of infinity na roho inatuthibitishia kupitia ubongo kwamba haya maisha tulishawai kuyaishi hapo awali tukiwa na umri huu huu na muda ulikuwa huu huu.

Vipi ilishawai kutokea kwako umekutana na scenario ndogo then ubongo na roho yako vikakumbuka kwamba ulishawai kuipitia au kuishi back then? What your experience on this? Ilishatokea kwako?

unnamed.jpg
images-1.jpg
 
Good day, good people!

Déjà vu ni neno lenye asili ya kifaransa likimaanisha "already seen, lived" yaani unakutana na situation, event, scenario au hali yeyote ambayo unakuja kugundua ulishawai kuishi hiyo hali au hayo maisha ya muda huo zamani iliyopita. Hiyo ndio inakuwa déjà vu. Yaani akili yako na roho yako inakiri kabisa ulishawai kuona, kukutana au kuhisi kitu flani hapo zamani but umekutana nacho tena ukiwa na umri huo huo na muda huo huo..then akili na nafsi yako zinakiri kabisa Ku experience na kuishi that situation before. Then that's déjà vu.

Kilichonifanya nikaandika haya ni kwamba Leo Niko hapa kigali, Rwanda sehemu moja inaitwa kanombe....nilikuwa nataka kupata lunch hivyo nikajikuta nimeenda straight hadi kwenye restaurant ambayo nikajikuta nahifahamu kwa jina though iko Rwanda na sijawahi kufika before..hii nikaignore hii but nilipoingia ndani mhudumu aliekuja kunihudumia alikuwa anamuita yule wa kaunta mama na alinisemesha kinyarwanda nikamuelewa vizuri ilhali sijui kinyarwanda kabida then nikaletewa msosi nilipoanza kula nikajikuta naijua situation nzima hadi mwisho wake ambapo nilihisi wataniuliza juu ya Mchele wa bongo... Na kweli mwishoni kabisa wakaniuliza juu ya Mchele wa bongo. Akili yangu ilikuwa imepigwa butwaa maana yale maisha Ninakumbuka niliwahi kuyaishi mwanzoni..but this time imetokea Rwanda hadi mgahawa naujua tena Kwa jina then hadi vitendo vyote. Wow! What's behind this? Labda kabla ya kuzaliwa niliwahi kuishi Rwanda? Sijui? Sasa nimeyajuaje kuanzia mazingira hadi mgahawa? I'm confused vibaya hapa!

Kimsimgi baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimehisi kuna possibility our spirits might be very old...kabla hatujazaliwa kuna uwezekano tulikuwa tunaexist million of years back maana nina uhakika roho zetu zinauwezo wa kutambua hata maeneo, sura, vitu n.k tulivyovipitia miaka ya nyuma sana hivyo zilishawai kuyaishi hayo maisha husika.

Na kwa kupitia déjà vu nimeanza kuamini kwamba binadamu tunaishi kwenye illusion ya space and time and we are immortal and exist forever in the universe of infinity na roho inatuthibitishia kupitia ubongo kwamba haya maisha tulishawai kuyaishi hapo awali tukiwa na umri huu huu na muda ulikuwa huu huu.

Vipi hii inatokea kwangu tu au kila mtu alishawai kupitia déjà vu!? Kwako ilikuwaje?

View attachment 788767View attachment 788770
Binafsi hunitokea hii ila maranyingi katia hisia za harufu. Yani naweza kuijiwa na harufu ya kitu au marashi flani then nkaja kukutana nayo katika mazingira ambayo niliyawaza. Au pengine ni harufu ya kitu kilinitokea miaka hata 10 iliyopita lakini nikikutana nayo tena najikuta nimekumbuka tukio lililohisina na hiyo harufu kipindi kilichopita na inakuwa mi mika sio chini ya 4 or 5
 
Toka umeanza kuzalisha mali umeifikisha maghala mangapi hadi muda huu. Au jamii inayokuzunguka wamisha punguziwa hata bei ya sukari kwa mchango wa uzalishaji mali zako?
Penda kufnaya kile nafsi yako inapenda kufanya ilimrsdi hakimuhathiri jirani yako, na hisipende kuingilia ya wenzako ilimradi hayakuhathiri pia.
dah sawa bana. Wewe na Humble African ndio wale mkishashindilia kiporo cha kande iliyochacha mkajipumzisha chini ya mwa arobaini njooz za ajabu zinawajia nakuwaza kubuild castle in the air na kushake tree and money fall. This hollyhood mentality imetuathiri sana.

Fanya kazi aisee!
 
Binafsi hunitokea hii ila maranyingi katia hisia za harufu. Yani naweza kuijiwa na harufu ya kitu au marashi flani then nkaja kukutana nayo katika mazingira ambayo niliyawaza. Au pengine ni harufu ya kitu kilinitokea miaka hata 10 iliyopita lakini nikikutana nayo tena najikuta nimekumbuka tukio lililohisina na hiyo harufu kipindi kilichopita na inakuwa mi mika sio chini ya 4 or 5
Kumbe sio Mimi peke yangu..ahahaha!! Huwa nafurahi sana nikiishi maisha na ubongo wangu ukatambua nimekwisha ishi hayo Maisha ya hivyo zamani...yaani yakijirudia!

Kuna moja nilifika sehemu nikaitambua kuliko na early scenario nikakumbuka then nitakutana na mtu nisietaka kukutana nae..then kabla sijafanya chochote akatokea jamaa niliekuwa sitaki kukutana nae. I was like wow! Wow!
 
Kumbe sio Mimi peke yangu..ahahaha!! Huwa nafurahi sana nikiishi maisha na ubongo wangu ukatambua nimekwisha ishu hayo Maisha...yaani yanajirudia!

Kuna moja nilifika sehemu nikaitambua kuliko na early scenario nikakumbuka then nitakutana na mtu nisietaka kukutana nae..then kabla sijafanya chochote akatokea jamaa niliekuwa sitaki kukutana nae. I was like wow! Wow!
Nafikiri na naamini binadamu tutakuwa tuna vingi vya maajabu ndani yetu, sema ni jinsi gani ya kuvijua ndio bado mtihani au giza.
 
Kuna kipindi nilikuwa naota ndoto kuwa kuna sehemu ina majimaji na majanimajani halafu pembeni ya hayo majani kuna vyoo viwili na kimoja kina pazia ila kimoja hakina.
Hii ndoto ilikuwa inajirudia kwa mwezi mara moja. Na wala sikuwa naitilia maanani.

Basi ndoto ikakata na nikaendelea na maisha yangu.
Sasa siku moja nimeenda kumtembelea rafiki yangu maeneo ya Kipawa, tukaingia sehemu kula na akasema tutembee mwa mguu kwenda kwangu.
Ile tumepiga hatua kama kumi nageuka pembeni nikaona vyoo viwili, kimoja hakina pazia na kimoja kina pazia na hivo vyoo viko sehemu kama ina majimaji na majanimajani.
Yaani yale mazingira niliyoyaona ni sawasawa na ndoto niliyokuwa naipata kwa miezi karibu 3.
Palepale nikamwambia yule rafiki yangu, asante kwa kunipitisha njia hii....ndoto niliyokuwa naiota leo nimeiona.
Nilisimama kama dk 10 nashangaa yale ninayoyaona.
Hadi yule rafiki yangu akawa ananishangaa.

Haya mambo kweli yapo...na mimi ni shahidi.
Kweli yapo.
 
Back
Top Bottom