Degree za hair and beauty.

bint kikwapa

New Member
Dec 6, 2013
4
0
hellow wadau wa JF...naomba mnisaidie mawazo,ni kweli kuna degree za mambo ya hair and beauty? kama ipo inapatikana katika vyuo vipi,naomba mawazo yenu tafadhali..........
 
Degree sijawahi kusikia, ila kwa nchi zilizoendelea watu huingia darasani kusomea mambo ya saluni ila huku kwetu tunajiendea kiholela ndio maana watu wanapata madhara.
 
Back
Top Bottom