Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

kali popote

JF-Expert Member
May 3, 2017
394
281
Wangwaana wote niwasalimu
Mimi ni msomi ngazi shahada ya ugavi,niliohitimu moja ya chuo hapa tz miaka mitatu iliyopita,kinachoniumiza nimeshindwa kuitendea haki taaluma yangu hadi sasa nimeamua kujiingiza kwenye ajira ya mkataba ni mwaka wa tatu sasa napambana na ushuru wa masokoni kwenye halmashauri moja ya jiji hapa tz,changamoto ni nyingi mno tunakumbana nazo ikiwemo dharau, kejeli,matusi na hata kuvunjiwa utu wako tena wanakuona hamnazo,huna elite na umepoteza dira ndio maana unakata Ushuru...ni kweeli kazi hiyo inachangamoto kulingana na ajira zimekuwa adimu inabidi mtu ukomae tu kibishi ukizingatia ninaye mke na mtoto mmoja, pia ukizingatia ndo baba.....wajuzi wa mambo nahitaji japo ushauri wenu juu ya jambo hili walau nipate mawazo mapya juu ya jambo hili ili ikiwezekana nipambane kivingine.....ahsante
 
Mke wako anajishughulisha na nini? Maana unaweza ukaendelea na kazi hiyo huku mkeo akisaidia kuingiza kipato kingine. Familia ikiwa na kipato cha ujumla, ni nani atakudharau, kwa lipi? Maana una kipato na elimu, yeye huyo anayekudharau hana elimu na hawezi kuipata kirahisi
 
Wangwaana wote niwasalimu
Mimi ni msomi ngazi shahada ya ugavi,niliohitimu moja ya chuo hapa tz miaka mitatu iliyopita,kinachoniumiza nimeshindwa kuitendea haki taaluma yangu hadi sasa nimeamua kujiingiza kwenye ajira ya mkataba ni mwaka wa tatu sasa napambana na ushuru wa masokoni kwenye halmashauri moja ya jiji hapa tz,changamoto ni nyingi mno tunakumbana nazo ikiwemo dharau, kejeli,matusi na hata kuvunjiwa utu wako tena wanakuona hamnazo,huna elite na umepoteza dira ndio maana unakata Ushuru...ni kweeli kazi hiyo inachangamoto kulingana na ajira zimekuwa adimu inabidi mtu ukomae tu kibishi ukizingatia ninaye mke na mtoto mmoja, pia ukizingatia ndo baba.....wajuzi wa mambo nahitaji japo ushauri wenu juu ya jambo hili walau nipate mawazo mapya juu ya jambo hili ili ikiwezekana nipambane kivingine.....ahsante
as long as unalipwa vzr bas sio mbaya,au malipo magumashi?
 
Mke ameajiriwa anauza moja ya hardware ya mtu hapa town....ila kamshahara ni kadogo sana kwa mwezi....analipwa 160k per month
 
Basi unaweza kuangalia yeye afanye nini badala ya kutegemea hiyo ajira ya dukani kwa mtu. Lakini wewe usiache labda uwe umepata namna nyingine kwanza, maana ukiwa hauna ndio utajisikia vibaya zaidi kuliko unavyojisikia sasa
 
Umenishauri vizuri mkuu nitaufanyia kazi ushauri huu mzurii
 
Wangwaana wote niwasalimu
Mimi ni msomi ngazi shahada ya ugavi,niliohitimu moja ya chuo hapa tz miaka mitatu iliyopita,kinachoniumiza nimeshindwa kuitendea haki taaluma yangu hadi sasa nimeamua kujiingiza kwenye ajira ya mkataba ni mwaka wa tatu sasa napambana na ushuru wa masokoni kwenye halmashauri moja ya jiji hapa tz,changamoto ni nyingi mno tunakumbana nazo ikiwemo dharau, kejeli,matusi na hata kuvunjiwa utu wako tena wanakuona hamnazo,huna elite na umepoteza dira ndio maana unakata Ushuru...ni kweeli kazi hiyo inachangamoto kulingana na ajira zimekuwa adimu inabidi mtu ukomae tu kibishi ukizingatia ninaye mke na mtoto mmoja, pia ukizingatia ndo baba.....wajuzi wa mambo nahitaji japo ushauri wenu juu ya jambo hili walau nipate mawazo mapya juu ya jambo hili ili ikiwezekana nipambane kivingine.....ahsante
Nilikuona Samunge mkuu, hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom