Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua zaidi. karibuni jaman, vp soko la ajira kwa hiyo kozi lipoje? au aandae tu mtaji ajiajiri