FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,353
Mantiki, maswali ya kifalsafa haya. Hapa, salute MkuuNajaribu kufikiria nini hasa lengo la mtoa maada.
- Je unaposema imechuja unamaanisha haina thamani au wasioelimika wanashindwa kutambua thamani yake?
- Je unapimaje uthamani wa degree?
- Je ratio ya mafanikio ya wenye degree na wasio na degree ikoje ukiangalia kwa idadi yao?
- Nini kifanyike ili huko kuchuja kuondoke au kupungue?