degree ya human nutrition

Zidy

Member
Oct 5, 2011
29
4
jamani ndugu zangu mimi nauliza kama hiyo kozi ya human nutrition pale SUA kama ina soko? Mana nataka niichange
 
soko lipo kwa wingi:Wizara ya Afya na ustawi wa jamii katika kada zake yaani madktari, wauguzi,mafundi sanifu maabara,n.k.pia mwaka jana waliongeza Afisa Lishe(Nutrition officer) katika kada hizo kutokana na matatizo ya lishe katika jamii:utapiamlo,vitambi n.k....usipopata maelezo ya kutosha kwa wana JF niPM nitakujulisha hadi mshahara wa kuanzia na mazingira ya kazi kwa ujumla...
 
Unataka kuchange uchukue nini? Veterinary Medicine? Agribusiness?Food Science?Agronomy? Horticulture?Range? Environmental Science?ama,we kaa kamua kitabu course iko broad kiajira na zote zina soko
 
duh!course za sua zna majina ya ajabu!!kama hyo agribusnec ina deal na nin?
 
soko lipo kwa wingi:Wizara ya Afya na ustawi wa jamii katika kada zake yaani madktari, wauguzi,mafundi sanifu maabara,n.k.pia mwaka jana waliongeza Afisa Lishe(Nutrition officer) katika kada hizo kutokana na matatizo ya lishe katika jamii:utapiamlo,vitambi n.k....usipopata maelezo ya kutosha kwa wana JF niPM nitakujulisha hadi mshahara wa kuanzia na mazingira ya kazi kwa ujumla...
Nashukuru Ndebile kwa maelezo mazuri ya kutia moyo..hakika nimefarijika sana
 
Unataka kuchange uchukue nini? Veterinary Medicine? Agribusiness?Food Science?Agronomy? Horticulture?Range? Environmental Science?ama,we kaa kamua kitabu course iko broad kiajira na zote zina soko
sawa mkuu...nilitaka niende agribusiness
 
sasa dogo,c bora usome tu hyo cjui ndo nutrition yako maana ukisoma hyo agribusness nakuambia ni sawa utakua umejtafutia matatzo kwenye soko la ajira,ebu fikiria agribusness uje kubanana sokon na graduates wa bcom na BBA na walvo wengi sasa,bora u2lie 2 na hyo kozi yako hata wakati wa kugraduate hamna jam kubwa,oi!wenzio s'time 2najuta kusoma haya mabcom we ndo unataka kudumbukia mle mle!think twice mdogo wangu ucfuate mkumbo kwenye mambo ya elimu.
 
Nashukuru kaka...nimechukua ushauri wako
 
soko lipo kwa wingi:Wizara ya Afya na ustawi wa jamii katika kada zake yaani madktari, wauguzi,mafundi sanifu maabara,n.k.pia mwaka jana waliongeza Afisa Lishe(Nutrition officer) katika kada hizo kutokana na matatizo ya lishe katika jamii:utapiamlo,vitambi n.k....usipopata maelezo ya kutosha kwa wana JF niPM nitakujulisha hadi mshahara wa kuanzia na mazingira ya kazi kwa ujumla...

Hi ndebile,nimesoma hyo kozi lakini mpaka sasa cjapata ajira,help me plz kama unaweza
 
sawa mkuu...nilitaka niende agribusiness

Sijajua utaratibu wa kuhama cause si kitu common sana chuoni kama ilivyo UD mtu kapata education anataka achange asome law mweee,ila Home Ec na Agribuss ni faculty 1 ya agriculture ila department tofauti, ila kama ni mtu wa totoz Home Ec ndo nyumbani kama class mpo 60 ratio ni ke 50 kwa me 10,aluta continua
 
Hi ndebile,nimesoma hyo kozi lakini mpaka sasa cjapata ajira,help me plz kama unaweza

Atiiii!unasema kweli au unatania?inaweza ikawa unaomba kazi nafasi zilizoandikwa Posta,DSM karibu na PPF tower,ondoa hayo mawazo badilika kazi zipo kibao tena zinataka watu kama nyie na zipo mikoani ukichagua sana matokeo yake ndo hayo mtaozea home, pole
 
Tanzania huwa hakuna degree mbaya wala uzuri, but ubora wa kitu huwa unategemea kuwa umejipanga vipi na KUJIAJIRI au kwenye ushindani wa soko la ajira!! So karibu sana SUA!!
 
Little Angle huku mtandao unasumbua kidogo nitakujibu kwa ufasaha ndugu yangu usihofu
 
Karibu kijana kwenye GREEN ZONE one caution: Hesabu AKA MTH 102, MTH 106 hapo kuwa makini sana
 
Mimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka
 
Back
Top Bottom