Unataka kuchange uchukue nini? Veterinary Medicine? Agribusiness?Food Science?Agronomy? Horticulture?Range? Environmental Science?ama,we kaa kamua kitabu course iko broad kiajira na zote zina soko
Nashukuru Ndebile kwa maelezo mazuri ya kutia moyo..hakika nimefarijika sanasoko lipo kwa wingi:Wizara ya Afya na ustawi wa jamii katika kada zake yaani madktari, wauguzi,mafundi sanifu maabara,n.k.pia mwaka jana waliongeza Afisa Lishe(Nutrition officer) katika kada hizo kutokana na matatizo ya lishe katika jamii:utapiamlo,vitambi n.k....usipopata maelezo ya kutosha kwa wana JF niPM nitakujulisha hadi mshahara wa kuanzia na mazingira ya kazi kwa ujumla...
sawa mkuu...nilitaka niende agribusinessUnataka kuchange uchukue nini? Veterinary Medicine? Agribusiness?Food Science?Agronomy? Horticulture?Range? Environmental Science?ama,we kaa kamua kitabu course iko broad kiajira na zote zina soko
sawa mkuu...nilitaka niende agribusiness
Nashukuru kaka...nimechukua ushauri wakosasa dogo,c bora usome tu hyo cjui ndo nutrition yako maana ukisoma hyo agribusness nakuambia ni sawa utakua umejtafutia matatzo kwenye soko la ajira,ebu fikiria agribusness uje kubanana sokon na graduates wa bcom na BBA na walvo wengi sasa,bora u2lie 2 na hyo kozi yako hata wakati wa kugraduate hamna jam kubwa,oi!wenzio s'time 2najuta kusoma haya mabcom we ndo unataka kudumbukia mle mle!think twice mdogo wangu ucfuate mkumbo kwenye mambo ya elimu.
soko lipo kwa wingi:Wizara ya Afya na ustawi wa jamii katika kada zake yaani madktari, wauguzi,mafundi sanifu maabara,n.k.pia mwaka jana waliongeza Afisa Lishe(Nutrition officer) katika kada hizo kutokana na matatizo ya lishe katika jamii:utapiamlo,vitambi n.k....usipopata maelezo ya kutosha kwa wana JF niPM nitakujulisha hadi mshahara wa kuanzia na mazingira ya kazi kwa ujumla...
Hi ndebile,nimesoma hyo kozi lakini mpaka sasa cjapata ajira,help me plz kama unaweza
duh!course za sua zna majina ya ajabu!!kama hyo agribusnec ina deal na nin?
sawa mkuu...nilitaka niende agribusiness
Hi ndebile,nimesoma hyo kozi lakini mpaka sasa cjapata ajira,help me plz kama unaweza