Degree ya Clinical Medicine inafanywa miaka mingap huko nje ya nchi?

Kama ni kweli unachoongea swali kwanini Tanzania hisianzishe haya mambo hili kuwa patia vijana wetu wa diploma nafasi ya kijiendeleza equivalent to medical doctor
Kwasababu vyuo vya diploma Ni vingi mno related to health program
Mambo ya equivalency kwenye afya za watu hapana.
 
Nime search jina moja hilija sajiriwa tupo katika hi kada tunajua mengi hila Hilo la bsc in clinical medicine so complicated
We kweli wa mbagala, yaani kila kitu kipo wazi, na mabadiliko ya kuwatambua waliosoma degree ya Clinical Medicine yamefanyika mwezi wa 7 km sijakosea, upo nyuma sana mkuu.
 
Shukrani mkuu, nilikuwa Sina update za maclinical officer wenye degree ya clinical medicine hila karibu mjini😃 tule salary ya TGHS D.
 
We kweli wa mbagala, yaani kila kitu kipo wazi, na mabadiliko ya kuwatambua waliosoma degree ya Clinical Medicine yamefanyika mwezi wa 7 km sijakosea, upo nyuma sana mkuu.

Vipi kuhusu internship zao...wana mtihani wakufanya kabla ya intern na baada kama MD’s au kwao utaratibu upoje
 
We kweli wa mbagala, yaani kila kitu kipo wazi, na mabadiliko ya kuwatambua waliosoma degree ya Clinical Medicine yamefanyika mwezi wa 7 km sijakosea, upo nyuma sana mkuu.

Na utaratibu upoje ukitaka kwenda kusoma..unapita kwanza TCU au unaendasoma tuu na je ukimaliza shule unaenda TCU kupata equivalents au ipoje Mkuu
 
Wewe jamaa natamani sana ningekuunga na team yeti nahisi ,ungebadilika kitu Kama hukijui vizuri kwanini utoe hisia zako kupotosha.??
Ndugu Anatomist, naomba uwe mental wangu ili unisaidie kufanijisha jambo hili kama hutojali.
 
Karibu sana mkuu,tuna group la WHATSAP lenye watanzania waliomaliza kozi hii,wanafunzi wanaoendelea na kozi hii na wanaohitaji kusoma kozi hii.Ni pm namba yako ya Whatsapp.
 
Na utaratibu upoje ukitaka kwenda kusoma..unapita kwanza TCU au unaendasoma tuu na je ukimaliza shule unaenda TCU kupata equivalents au ipoje Mkuu
YES unafanya mtihani wa pre and post interniship pamoja na MD na baada ya hapo utapangiwa hospitali for Internship
 
Back
Top Bottom