Degree ya Biotechnology and laboratory science inayotolewa sua inahusu nini zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Degree ya Biotechnology and laboratory science inayotolewa sua inahusu nini zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sholloz nkanda, Sep 1, 2012.

 1. S

  Sholloz nkanda Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naombeni mnijibu wanajamii kwani sielewi kama inahusu mambo ya afya au vp
   
 2. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Nenda kasome ndio utajua.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Inahusu ujuzi wa vipimo mbalimbali vya maabara hasahasa vipimo vya DNA.
  Ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi kazi kwenye maabara za hospitali au polisi kwenye kitengo cha forensic science, maabara za idara ya wanyamapori au mifugo au ofisi ya mkemia mkuu. Vilevile unaweza kufundisha katika level mbalimbali au kuwa mtafiti. Tembelea hapa uone baadhi ya ajira za kozi hiyo Tanzania Government Chemist Laboratory Agency(GCLA).
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Mtu anauliza kwa nia njema wewe unamjibu bila staha. Ulaaniwe ugongwe na gari ufe!
   
 5. m

  m4cjb JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 6,832
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 180
  Mkuu mi pia nimechaguliwa hiyo kozi but 4 sure sijui inakuwaje,wana JF kama kuna mtu ana tarifa atumwagie hapa.
   
 6. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  ur avatar should recapitulate with ur posts!i doubt if u r a great thinker?i doubt if u r ok?so 2 say wahiahibisha picha ya Einsten!
   
Loading...