Degree on ur wall without labour on back is nothing, Totaly nothing

end justify means

Senior Member
Jan 16, 2014
128
23
Hakuna nchi yeyote Duniani iliyoweza wapatia ajira raia wake wote ajira hiwe ni Marekani, Russia, au hata nchi nyingine yeyote tajiri unayo hifahamu kulalamikia ajira serekali haito ni hoja hafifu inayo dhihirisha kushindwa kwako katika maisha yako leo hata viwanda vyote vifufuliwe bado watu wote hawata pata ajira, vijana tumekua wavivu wa kudhubutu, wavivu hata kufikiri, imagine kijana yuko chuo anapewa hela ya mkopo anakulaaa hela yote maadaz asubh miaka mitatu kutenga laki 2 tuu achukue leseni hawezi eti hela ya kujikimu ndogo haitoshi sasa hivi kila akicheki job requirement driving licence will add advantage anabaki shangaa vijana tuamke tujiwekee malengo ww una degree unataka uajiriwe nakuhakikishia there are lot in town to giv u money chemsha kichwa chemsha kichwa toka hapo nyumban kwa mama yako kwa kaka yako, kwa dada yako nenda katafute maisha yako I am telling u I just need u to understand Ur degree on ur file without labor on ur back is nothing total

Nothing u can crame that if it becomes difficult to understand thanks... GDENCE
 
katika jambo nisilokubaliana nalo ni hili la kukopesha mtoto hela ya ada, kimsingi anayetakiwa kukopa ni mzazi au mlezi ili wajadiliane na mwanae ni elimu gani anayotaka kusoma na itamsaidiaje kwa maisha ya badae. fikiria mtu anasoma digree ya international relation wala hajui atafanyakazi gani baada ya kuhitimu.

hili suala la kijana kushindwa kupangilia maisha hilo ni tatizo la watanzania wengi, sikumoja kulikuwa na usaili wa mafundi mzungu alivyofika akaomba kama kuna fundi mwenye tool box, katika kundi la watu mia sita watatu tu ndo walikuwa na tool box na hao ndo wakaajiriwa.

kuhusu ukosefu wa ajira tusilaumu vijana kwani ajira ni mfumo, ajira katika nchi za kijamaa ni tofauti na ajira katika nchi za kibepari, kwa wenzetu ukiambiwa mtu hana ajira haimaanishi hana hata hela ya kula, huku ukiambiwa jamaa hana kazi ni kweli kutokuuona mchana ni jambo la kawaida.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom