Dege lililobadilishwa gia angani latua Kilimanjaro International Airport

F9T

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,674
4,942
hatmae lile dege kubwa la AIR CHADEMA likiongozwa na capt.mbowe linatarajiwa kutua ndan ya kilimanjaro international airport, ikumbukwe kuwa dege hili ndo lile ambalo rubani wake alibadili gia likiwa liko angani, ni kitendo cha kishujaa na ambacho hakijawah kufanywa na ruban yeyote dunian lakini kwa utaalam, uthubutu na ushujaa wa captain mbowe hatimae dege hili limeweza kutua salama salmin katka uwanja wa KIA, viva captain mbowe, you are the hero of tanzanian politics, but next time usibadil gia tu, bali isimamishe, na watu wakachimbe dawa hukohuko angani. viva, cdm, viva Kilimanjaro
 
Ume

Umeandika utumbo gani hapa?
 
Nimependa hapa chini mkuu kuwa juu hukohuko angani aruhusu abiria wakachimbe dawa baada kuisimamisha… hapa umeua mkuu
 
Back
Top Bottom