Dege Eco Village Project

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
465
500
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop,tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge,Nini hatma yake? lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom