Define your love life in one word

Penzi langu ni mateso makubwa...Mwanamke niliyenaye nampenda sana ila sifuraishwi na tabia zake... Ananichuna, anipi mzigo, hajui hata kunipetipeti nikiona simu yake naogopa maana najua naliliwa shida, yeye hashei furaha na mimi ni shida tu naelezwa....Ananitesa sana nakufa kiume na kumuacha siwezi.

Mungu nipe nguvu niione kweli.
 
Umeambiwa neno moja eboo
 
😆😆😆
 
Maneno yako yatafutie neno moja tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom