Deep stick ya kupima oil.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,855
2,000
Habari wakubwa.
Nina gari yangu toyota runx.
Sasa juzi nilitoa stick ya oil ili nicheck level sasa wakati nafuta na kitambaa imekatika bahati mbaya.
Nikaunga na super glue.
Sasa niliporudishia na kuchomoa tena kale ka kipande kamebaki lkn kanaoneka kapo kwa juu.
Naomba kujua kama naweza pata spea yake na ni bei gani na je kale kalikobaki kakishuka ndani ya engine kuna madhara?
Nitashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,502

Toyota runx, naona ndiyo theme ya hii thread though hatukujui. Pole lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doctizo Mtengwa

JF-Expert Member
Feb 16, 2019
629
1,000
Habari wakubwa.
Nina gari yangu toyota runx.
Sasa juzi nilitoa stick ya oil ili nicheck level sasa wakati nafuta na kitambaa imekatika bahati mbaya.
Nikaunga na super glue.
Sasa niliporudishia na kuchomoa tena kale ka kipande kamebaki lkn kanaoneka kapo kwa juu.
Naomba kujua kama naweza pata spea yake na ni bei gani na je kale kalikobaki kakishuka ndani ya engine kuna madhara?
Nitashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Mkuu kama deepstick itakua imebaki kwenye njia yake sidhani kama itakua na tatizo zaidi ya kufungua "sample" ya kuhifadhi oil nakuangalia utaratibu wa kuitoa au umcheki fundi wako kwa msaada zaidi...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom