DEDICATION TO THE LIVING LEGENDS - Maadili zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DEDICATION TO THE LIVING LEGENDS - Maadili zaidi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TIMING, Aug 3, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wanajanvi,

  Najua of late tumekua kimtindo sana na haya mambo ya election primaries yamechukua nafasi kwa baadhi yetu... presha zilipanda, kushuka, tukachemka na hata kuongea pumba.. its njot bad hasa ukizingatia bila pumba mchele unakosa thamani

  Now, this idea has been in my mind since i joined JF, i wanted to salute the "living legends" - watu wanaotu-inspire, correct, challenge and love but for a good course


  • Generally kwenye social na starehe huwa namwangalia mzee kama King Kiki as a model kutokana na his humbleness ambayo ni tofauti sana na wakongo wengi, he is modest talented yet a humbe person

  • Kwenye sports nimekua nikisoma taarifa za watu kama Essien, Gabriesellassie nk na kuvutiwa na jinsi wanavyosaidia na kuheshimika kwao
  • Nikija kwenye mambo ya taaluma huwa naadmire sana kazi za Covey [vitabu kwani hunisaidia hata kwenye general management na kazi nyingine
  • Nafarijika sana kusoma articles za Jenerali Ulimwengu pia na busara za pdre Karugendo
  Hawa wote ni living legends na pia hunipa raha sana nionapo wanavyoinfluence maisha ya watu in one way or another

  JE UNAWEZA KUENDELEZA HII THREAD KWA KUWAPA BIG UP UNAODHANI WANASTAHILI?
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yeah, its important
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  True indeed... I wish Salim awe reckoned kwa michango yake ingawa mfumo umemaliza
   
Loading...