DED wa Kilosa atubu mbele ya Rais Magufuli. Vijana tujifunze unyenyekevu

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Mkurugenzi wa Kilosa aliyeandika barua kwa wananchi kuwa watawagawia hekari mia mbili na hamsini badala ya mia nne toka kwa muwekazaji amejutia kosa lake mara tatu mbele ya Rais yaani nimekosa mimi, nimekosa mimi na nimekosa sana.

Mkurugenzi huyo ameponea chupuchupu kutumbuliwa baada ya kuagiza barua aliyoiandika kwa wananchi mwezi May 2020 airekebishe pale pale kwa kutumia peni na kuandika yafuatayo "Mimi Mkurugenzi ninawaomba radhi wananchi kwani nimekosa sana na nimekosa sana sitarudia tena na hii barua ya kugawa ardhi nimeifuta rasmi"

Mkurugenzi huyo akiwa anatetemeka kwa uwoga yaani ndembe ndembe ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwa kuomba msamaha.

Hili liwe funzo kwa vijana kuwa bora ukaonekana mjinga na mlamba viatu lakini ukatetea kibarua chako na familia yako.

Vijana msikubali kufa na tai shingoni kwa sasa Ajira hakuna.

Kwa jinsi JPM alivyokasirika Mkurugenzi alikuwa anaondoka pale pale lakini akili yake ya kuamua kutubu makosa na kujutia .JPM amempa nafasi ya pili ya kufanya kazi kwa wana Kilosa.

Mkurugenzi Kilosa hoyee!
 
Tunatubu kwa mwenyezi Mungu tu !! kwa binadamu mwenzako unamwambia samahani. Kijana ameonyesha kutojiamini kwa kiwango cha lami...
 
Kama hiyo ndiyo njia Sahihi ya kunusuru tumbo lake na familia.Kwa nini asitubu?.Acheni ujinga nyie mnaomkashfu.Njaa haina baunsa,hata mk*du angetaka angempa tu!

Bwahaaa bwahaaa, nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Mshkaji uko kwenye ajira nini? Maana watu walio kwenye ajira ndio huwa wanaoogopa maisha ile mbaya. Nashukuru huo utumwa wa ajira niliushinda muda mrefu sana.
 
mbona nilimsikia akiweka condition, kuwa mimi nilidhani natekeleza majukumu yangu kumbe nafanya makosa, na jpm alimuuliza uje uombe msamaha au uendelee kujitetea, kuhojiwa na rais hadharani hata kama ulikuwa waziri mkuu uta shake hasa ukijua anaweza kukunyofoa iwe una kosa au huna
 
Mkurugenzi wa Kilosa aliyeandika barua kwa wananchi kuwa watawagawia hekari mia mbili na hamsini badala ya mia nne toka kwa muwekazaji amejutia kosa lake mara tatu mbele ya Rais yaani nimekosa mimi, nimekosa mimi na nimekosa sana.

Mkurugenzi huyo ameponea chupuchupu kutumbuliwa baada ya kuagiza barua aliyoiandika kwa wananchi mwezi May 2020 airekebishe pale pale kwa kutumia peni na kuandika yafuatayo "Mimi Mkurugenzi ninawaomba radhi wananchi kwani nimekosa sana na nimekosa sana sitarudia tena na hii barua ya kugawa ardhi nimeifuta rasmi"

Mkurugenzi huyo akiwa anatetemeka kwa uwoga yaani ndembe ndembe ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwa kuomba msamaha.

Hili liwe funzo kwa vijana kuwa bora ukaonekana mjinga na mlamba viatu lakini ukatetea kibarua chako na familia yako.

Vijana msikubali kufa na tai shingoni kwa sasa Ajira hakuna.

Kwa jinsi JPM alivyokasirika Mkurugenzi alikuwa anaondoka pale pale lakini akili yake ya kuamua kutubu makosa na kujutia .JPM amempa nafasi ya pili ya kufanya kazi kwa wana Kilosa.

Mkurugenzi Kilosa hoyee!
"Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"

Hapo ilimpasa anene hivyo ili apate kitubio kwa kuungama maovu yake hadharani (hata kama hayapo), ili sifa na utukufu ukapate kurudi kwa mamlka ya mtu yule aliye mteua. Toba za aina hii sijui kama zipo kwa jirani zetu kama Uhuru Kenyatta ama kwingine Afrika.
 
Mkurugenzi wa Kilosa aliyeandika barua kwa wananchi kuwa watawagawia hekari mia mbili na hamsini badala ya mia nne toka kwa muwekazaji amejutia kosa lake mara tatu mbele ya Rais yaani nimekosa mimi, nimekosa mimi na nimekosa sana.

Mkurugenzi huyo ameponea chupuchupu kutumbuliwa baada ya kuagiza barua aliyoiandika kwa wananchi mwezi May 2020 airekebishe pale pale kwa kutumia peni na kuandika yafuatayo "Mimi Mkurugenzi ninawaomba radhi wananchi kwani nimekosa sana na nimekosa sana sitarudia tena na hii barua ya kugawa ardhi nimeifuta rasmi"

Mkurugenzi huyo akiwa anatetemeka kwa uwoga yaani ndembe ndembe ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwa kuomba msamaha.

Hili liwe funzo kwa vijana kuwa bora ukaonekana mjinga na mlamba viatu lakini ukatetea kibarua chako na familia yako.

Vijana msikubali kufa na tai shingoni kwa sasa Ajira hakuna.

Kwa jinsi JPM alivyokasirika Mkurugenzi alikuwa anaondoka pale pale lakini akili yake ya kuamua kutubu makosa na kujutia .JPM amempa nafasi ya pili ya kufanya kazi kwa wana Kilosa.

Mkurugenzi Kilosa hoyee!
Tangu lini binadamu akatubu kwa mwanadamu mwingine?
 
Back
Top Bottom