DED wa Itigi kaua mtu kwa shaba hajasimamishwa kazi mpaka leo. Tundu Lissu anaumwa mnanvua ubunge?

Je Sheria zinasemaje kuhusu mtu anayetuumiwa kuua? Na je huoni kuwa hapo ni vitu viwili visivyofanana?
Haki ipo wapi?
kila siku mnatuhubiria kisiwa cha amani kumbe mnaongea uongo? mnamfuza mgonjwa?
juzi hapa Ded kampiga mtu risasi za moto tena kanisani mchana kweupe hata kazi hajasimamishwa na bado analamba mshahara.tunajua anapaswa asimamishwe/ fukuzwe baada ya hukumu lakini kwa hulka ya huyu bwana mjua yote aliyemteua angeshateuliwa mwingine zamani .kumbuka yule aliyelewa kipindi cha nyuma. huyu mbona ganzi? kwakuwa mtoto wa dada ama kitu gani? hata yule RC ambaye bibi yake ndiyo mlozi wa mkuu nae hafanywi kitu. kumbuka issue ya makontena na juzi kamtukana yule dhaifu na hajafanya kitu zaidi ya kuloa lia
Huu ubaguzi mnaoleta ipo siki tutachoka na kuingia barabarani .kumbukeni hata makaburu walikuwa na usalama wa taifa tena imara kuliko huu wa hao waiba kura wenu..makaburu walikuwa na jeshi imara sio kama hao wa kwenu mnaowapeleka zanzibar kuoba kura kule unguja wale wa makaburu walikiwa na maguvu haswa. makaburu walikuwa na polisi wenye weledi sio kama hao wenu wezi wa masanduku ya kura na kupambana na kina bulaya
ipo siku umma utachoka na vyote mnavyojivuni navyo havitatosha wala kufua dafu
nawasilisha.
ndimi
niliyeporwa korosho zangu na MAGUFULI
Lindi -Nachingwea
 
Haaaa mtoto wa Dada chezea wewe na mnavyojua kumsifu mtamwambia Sawa baba
 
Back
Top Bottom