DED wa Gairo asimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati zinazomkabili

Hii ni non-issue. Watuambie Mkurugenzi ndugu yake Magufuli alieua Msabato kanisani nini kinaendelea. Mabati yamerudishwa tunaweza kuendelea, na uhai uliotolewa je?
Halafu kweli,hile kesi iliishiaga wapi, au alitolewaga kinyemela
 
Kuuliza so ujinga wanandugu huyu ndo Asajile aliyekuwa Vodacom kipindi fulani nyuma ama majina kufanana? Mwenye kumfahamu snipe mrejesho.
 
Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati anayodaiwa kuiba na wenzake wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya kilosa kabla ya kuhamishiwa halmashauri ya gairo mkoani morogoro.

Taarifa ya kuhusu kusimamishwa kwa mkurugenzi huyo hii hapa,

View attachment 1931947
Pia soma,

Thread 'Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati' Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

Thread 'Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu' Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

Huyu mnyambala ametisha...kuiba mabati tena???
 
Back
Top Bottom