DED Mteule Korogwe, Kwa hili Nakupongeza Rais Magufuli

Kati ya vijana vichwa waliopo nchi hii kwa sasa moja wao ni huyu mteule DED wa Korogwe, George John Nyaronga. Ni Mwalimu/Dr wa hesabu Open University....

Ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Ana IQ kubwa sana, ni jasiri, mjengaji wa hoja vizuri na kubwa zaidi ni muadilifu...

Nimefanya naye kazi nyingi sana kwa hakika wana~Korogwe wamepata jembe. Na kwa muda mfupi watanzania tutaona uwezo wa huyu kijana... Na ninamtabiria kufika mbali katika hii serikali ya Rais Magufuli!...

#Pongezi kwa Rais Magufuli
#Hongera sana wana~Korogwe... Tahadhari tu kwa watumishi wa Korogwe, mjiandae kufanya kazi, tena kwa bidii sana. Ni kijana asiye na mchezo katika kazi.... Anapiga kazi kwa juhudi zote, na msishangae mtakuwa mnamuona anafika ofisini saa 10 za alfajiri, na kutoka saa 6 usiku...
Atakuwa hana mpngo kazi anaingia saa kumi alfajiri kutoka saa 6 usiku
 
George ni kijana aliyekuwa mkurugenzi wa MSA marehemu John Nyaronga ni mjukuu wa Askofu mstaafu wa Anglikan dayosisi ya mara marehemu Nyaronga moja ya sifa yake ni kuwa pamoja na babake kuwa na ukwasi mkubwa wa mali lkn aliishi maisha ya kawaida km watoto wa maskini kabisa
 
Kati ya vijana vichwa waliopo nchi hii kwa sasa moja wao ni huyu mteule DED wa Korogwe, George John Nyaronga. Ni Mwalimu/Dr wa hesabu Open University....

Ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Ana IQ kubwa sana, ni jasiri, mjengaji wa hoja vizuri na kubwa zaidi ni muadilifu...

Nimefanya naye kazi nyingi sana kwa hakika wana~Korogwe wamepata jembe. Na kwa muda mfupi watanzania tutaona uwezo wa huyu kijana... Na ninamtabiria kufika mbali katika hii serikali ya Rais Magufuli!...

#Pongezi kwa Rais Magufuli
#Hongera sana wana~Korogwe... Tahadhari tu kwa watumishi wa Korogwe, mjiandae kufanya kazi, tena kwa bidii sana. Ni kijana asiye na mchezo katika kazi.... Anapiga kazi kwa juhudi zote, na msishangae mtakuwa mnamuona anafika ofisini saa 10 za alfajiri, na kutoka saa 6 usiku...
Huu ujumbe ungemuandikia inbox Proff Maji Marefu au yule Mama Bubu wa Korogwe
 
Khaaa..... time will tell we unadhani kila jogoo akiwika ni asubuhi?! Huenda anaendaga kunynyizia ofisi madawa kama. yule mzee fulani aliyeonwa na za bunge.... akifanya yake
 
Kati ya vijana vichwa waliopo nchi hii kwa sasa moja wao ni huyu mteule DED wa Korogwe, George John Nyaronga. Ni Mwalimu/Dr wa hesabu Open University....

Ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Ana IQ kubwa sana, ni jasiri, mjengaji wa hoja vizuri na kubwa zaidi ni muadilifu...

Nimefanya naye kazi nyingi sana kwa hakika wana~Korogwe wamepata jembe. Na kwa muda mfupi watanzania tutaona uwezo wa huyu kijana... Na ninamtabiria kufika mbali katika hii serikali ya Rais Magufuli!...

#Pongezi kwa Rais Magufuli
#Hongera sana wana~Korogwe... Tahadhari tu kwa watumishi wa Korogwe, mjiandae kufanya kazi, tena kwa bidii sana. Ni kijana asiye na mchezo katika kazi.... Anapiga kazi kwa juhudi zote, na msishangae mtakuwa mnamuona anafika ofisini saa 10 za alfajiri, na kutoka saa 6 usiku...

IQ kubwa anakuwa DED? Sio anaanzisha kampuni na kuajiri vijana wengi wewe unapima kwenda kufanya kazi almashauri unajua kabisa huko hakuhitaji IQ kazi routine na za kutumikia watu waliokutuma kazi. Kama ndio wewe mwenyewe muwe unaficha upumbavu wenu.
 
Kati ya vijana vichwa waliopo nchi hii kwa sasa moja wao ni huyu mteule DED wa Korogwe, George John Nyaronga. Ni Mwalimu/Dr wa hesabu Open University....

Ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Ana IQ kubwa sana, ni jasiri, mjengaji wa hoja vizuri na kubwa zaidi ni muadilifu...

Nimefanya naye kazi nyingi sana kwa hakika wana~Korogwe wamepata jembe. Na kwa muda mfupi watanzania tutaona uwezo wa huyu kijana... Na ninamtabiria kufika mbali katika hii serikali ya Rais Magufuli!...

#Pongezi kwa Rais Magufuli
#Hongera sana wana~Korogwe... Tahadhari tu kwa watumishi wa Korogwe, mjiandae kufanya kazi, tena kwa bidii sana. Ni kijana asiye na mchezo katika kazi.... Anapiga kazi kwa juhudi zote, na msishangae mtakuwa mnamuona anafika ofisini saa 10 za alfajiri, na kutoka saa 6 usiku...
Usijekuwa ni wewe mwenyewe unajisifia
 
Mnaomfahamu DED mpya wa Korogwe mumfahamishe ile wilaya anayokwenda ni ya kina Majimarefu, ashike Bible alivyoongozwa na wazazi wake, akizembea hilo atashindwa kuogelea.
 
Hizi nafasi za uteuzi zinawapeleka kujutana na wasimamizi wake(madiwani),ambao sifa ya nafasi zao ni kujua kusoma na kuandika!
Wateuliwa inabidi wabadilike waendane na mazingira wayakutayo,vinginevyo watashindwa kazi mapema sana.
Ngazi hizi Siasa ina nguvu kuliko taaluma uliyonayo!
 
Back
Top Bottom