Deconstructing Lowassa

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Edward Lowassa is very ambitious man. He is believed to be very industrious.

However, he has been very pushy, arrogant and seeks power at any cost. He behaves like a monster, walking like a zombie and always he is ready to stir unrest for the sake of his self interest.

The question is why? Why is Lowassa keep coming back from shame to demand power? Why does Lowassa wants so much to become the President of Tanzania?

When Mwalimu Nyerere exposed Lowassa in 1995, he faded away from the picture. However the merciful elders within the Party recommended to Mkapa to resurrect Lowassa from alcoholism and misery.

When ELCT was facing the Meru crisis in 90's, it is being alleged that Lowassa who is Meruan was the chief architect behind the scenes trying to champion a creation of Diocese of Meru which would have been independent of Nothern Diocese.

He walks with majestic pompousness, always talks faster than thinking, he has proved to be inept, reckless and careless administrator who used his infliuence to force the contract between Tanesco and Richmond. Had it not been for him to resign from premiership, he was ready to enter a Rain Making contract with Thailand government.

Despite his unceremonial resignation, it appears that Lowassa is still holding power, very persuasive and monetary powers among CCM party ranks and he has alot of suppoters and followers who enjoy his "philanthropy" kindness as a sign of loyalty.

What the Right Reverend wonders is why would Tanzania and CCM accomodate such a greedy politician to remain behind the scenes of Tanzania or CCM leadership?

Why would one ever think of giving Lowassa a hope that some day in neear future he would become the President of Tanzania?

He is known to be corrupted by power and is keen to become a tycoon, why does CCM still provide him with a red carpet?

What powers and cliques he has created that it is assumed that he is most powerful politician in Tanzania? Do we as a nation deserve such a person to be our leader?

I think it is time we put Lowassa under microscope and magnifying glass.

He stinks, a deep foul smell of corruption, greed and power mongering. He has proven time and time again that he is not attentive to details, he is not efficient nor wise. His descisions have costed our nation Millions of money through a dirty contruct and a slup in our economy as a result of forcing a bogus contract between Tanesco and Richmond.

He behaved like a child when he decided to resign from his post as Prime Minister and has still refused to give his testimony under oath.

A task at hand is to neutralize his supportes by unseating them from our Parliament and even within CCM ranks. We should expose all his backers and supportes and treat them as traitors to our country and our constitution.

My fellow Tanzanians, we should be aware of Lowassa intentions to become our leader.

We should treat him and isolate him like a leper, a man who is infectious and never to be trusted.

As he mounts his political comeback, we shall stand together and mount his political demise!
 
Iwapo watu wa Monduri wataamua kumruhusu awawakilish Bungeni mimi sitakuwa na matatizo nao, ila iwapo atateuliwa tena kushika nafasi yoyote nje ya Bunge, huo utakuwa ni usaliti kwa taifa unaofanywa na aliyemteua.
 
Lowasa atarudi madarakani muda si mrefu na anategemewa kuchukua uraisi hapo baadaye.

Kumbukeni Mwalimu Nyerere aliwakataa Kikwete na Lowasa kugombea nafasi hizo kubwa. Hawa jamaa kwa pamoja waliamua kung'ang'ania na kusaidiana kwa hali na mali hadi wakapata nafasi hizo kwa makubaliano ya kuachiana kiti cha uraisi. Hivyo Lowasa anajua kabisa kwamba ni lazima arudi madarakani haraka kadri iwezekanavyo ili iwe rahisi kwake kuwa raisi wa Tanzania.

Alichokuwa anafanya Lowasa katika nafasi ya uwaziri mkuu ni kukusanya pesa kwa kila namna ambazo zingemsaidia katika kampeni yake ya kwenda ikulu. Huo mradi wa Richmond ilikuwa ni moja kati ya njia za kukusanya pesa. Alikuwa ana mipango kabambe kabisa ya kuuza Bandari ili kukusanya pesa za kampeni.

Pamoja na makelele yetu yote bado Lowasa atarudi serikalini na kuchukua madaraka makubwa katika nchi hii.

Tanzania inamilikiwa na watu wachache sana na Lowasa ni moja kati yao.
 
Do we as a nation deserve such a person to be our leader?

What kind of question is this? That you are at all able to entertain this kind of idea shows how seriously you must be underestimating the intelligence of ordinary Tanzanian people. Stop peddling this kind of nonsense and get real!
 
Kumbukeni Mwalimu Nyerere aliwakataa Kikwete na Lowasa kugombea nafasi hizo kubwa.

Mwalimu alimkataa Lowassa tu, sio Kikwete ambaye amekulia mikononi mwake yaani Mwalimu baada ya baba yake Kikwete kufariki akiwa Mjumbe wa NEC, for your info ni kwamba nusu ya maisha ya Kikwete, were paid by our tax money, kuna baadhi ya viongozi tulionao leo, ambao Mwalimu aliwatayarisha siku nyingi sana kuja kuwa viongozi, Kikwete ni one of them,

Kikwete alishinda uchaguzi wa ndani wa CCM Dodoma mara mbili, lakini ilipokuja ya tatu as mujibu wa katiba ya CCM, Mwalimu aliingilia kati na kusema kwa wajumbe wote wa ule mkutano kuwa Kikwete bado ni mdogo kiumri, hajakomaaa kwa hiyo rais awe Ben na huyu Kikwete aachiwe baada ya Ben kumaliza ndio atakuwa tayari, kama ulifuatilia kampeni zake Kikwete za urais mwaka 2005 aliesma haya maneno mara nyingi sana kwenye kampeni zake! Kikwete alikuwa na blessing zote za Mwalimu.
 
Mi sioni chochote anachofanya Pinda. Afadhali ya Lowasa.

Mengine ni siasa tu za bongo. Sitoshangaa jamaa akiwa rais 2015 kama atakuwa hai
 
Despite his unceremonial resignation, it appears that Lowassa is still holding power, very persuasive and monetary powers among CCM party ranks and he has alot of suppoters and followers who enjoy his "philanthropy" kindness as a sign of loyalty.

Mkuu Rev,

Heshima mbele mkuu, hii kitu ni very strong na ni kweli tupu kuwa huyu mkuu sasa hivi ukweli ni kwamba ana serikali yake within serikali yetu, sio siri na anayekataa hili basi haelewi kabisa kinachoendelea,

Akiwa waziri mkuu, alikuwa kwenye kampeni toka siku ya kwanza, alifikia hatua mpaka ya kuwaweka makatibu wa CCM wa Tarafa, wilaya, mikoa huko kote ana mizizi mizito haijawahi kutokea, mawaziri ndio kabisaa labda sasa hivi ni mawaziri kama Mwandosya, na wengine wawili au watatu ndio hawamsujudu lakini wengine wote wako chini yake na wanachukua amri toka kwake,

Halafu behind all this kuna a dangerous snake kule Mbeya, ambaye naye nasikia ana almost run our government, na ni rafiki mkubwa sana wa Lowasssa, ndiye the masterminder wa urais wa muungwana, ukiangalia sana na kwa makini siasa za bongo na uelewa wa wananchi, bado tuna mawazo ya awamu ya kwanza ya kuwashambulia viongozi safi na kuwapalilia viongozi wabovu, sielewi jinsi Serukamba anvyoweza kuongea na hata kusifiwa na baadhi ya wananchi, huyu ndiye hasa kiongozi wa wabunge wa lowassa, na sasa hivi wanagawa hela kushoto na kulia ili kuziba uchafu wa Lowassa na kumjenga upya, na wanafanikiwa si umemsikia Anna Abdallah,

Na sasa hatimaye wameweza kum-recruit Mkapa kwenye hilo kundi, na pia kuna viongozi wa upinzani pia ambao wamo kwenye hili kundi, muungwana amebaki na Membe tu, hawa hawajamtenga bado ila wamemuwekea mtego ili aaamue kujiunga nao au kuachana nao, tayari wana mtu wao wanamtayarisha kuwa rais sio yeye lowassa, lakini yeye ndiye kiongozi wa hilo kundi, sasa mwenye nguvu ya kututoa na hili janga ni rais peke yake, ambaye so far haonekani kuwa na msimamo thabiti, kwa sababu viongozi wa chini wanaojaribu kutusaidia wananchi wanapigwa vita sana kiasi kwamba ninaamini kuwa wataishia kujiunga nao tu in the end!

Nina wasi wasi kuwa hawa kina Lowassa, wataishia kushinda! kwa sababu wananchi wa Tanzania hatuko tayari kwa mabadiliko, acha hizi siasa za online mkuu bongo bado sana!
 
Mzee ES,

Mkuu umenena sana!

Nadhani kutokana na uungwana wa muungwana ndio maana wana mstahi, ila ukweli kabisa wana nguvu kuliko Muungwana kwenye CCM.
 
Lowasa has to look for something else to do he will never get the presidense, tell you Tanzanians have changed a lot. HE WILL NEVER
 
Not only that wamewanunua mpaka baadhi ya viongozi wa upinzani, ninawajua mpaka kwa majina ninaweza hata kuwataja hapa JF, mkuu FD ashante wa kuelewa ninachosema,

Muungwana wamemuachia nafasi ya kuona na kufikrii, hawana haraka naye mpaka hapa Jf kuna watu tayari wameshakuwa contacted, ninajua hilo for a fact jamaa hawana mchezo hawa, ukinagalia kwa makini events za last two weeks unless hujui siasa, lakini kama unaijua utaona wazi kuwa upande wa pili yaani wa sisi wananchi tuna kazi kubwa sana kama sio mlima mzito sana mbele ya hii safari!
 
Lowasa atarudi madarakani muda si mrefu na anategemewa kuchukua uraisi hapo baadaye.

Kumbukeni Mwalimu Nyerere aliwakataa Kikwete na Lowasa kugombea nafasi hizo kubwa. Hawa jamaa kwa pamoja waliamua kung'ang'ania na kusaidiana kwa hali na mali hadi wakapata nafasi hizo kwa makubaliano ya kuachiana kiti cha uraisi. Hivyo Lowasa anajua kabisa kwamba ni lazima arudi madarakani haraka kadri iwezekanavyo ili iwe rahisi kwake kuwa raisi wa Tanzania.

Alichokuwa anafanya Lowasa katika nafasi ya uwaziri mkuu ni kukusanya pesa kwa kila namna ambazo zingemsaidia katika kampeni yake ya kwenda ikulu. Huo mradi wa Richmond ilikuwa ni moja kati ya njia za kukusanya pesa. Alikuwa ana mipango kabambe kabisa ya kuuza Bandari ili kukusanya pesa za kampeni.

Pamoja na makelele yetu yote bado Lowasa atarudi serikalini na kuchukua madaraka makubwa katika nchi hii.

Tanzania inamilikiwa na watu wachache sana na Lowasa ni moja kati yao.

Nyerere hakumkata Kikwete, ila alimpenda Mkapa zaidi ya Kikwete kwa muda ule. Usimchumishe Dhambi Baba wa watu huko aliko
 
Mkuu Rev,

Heshima mbele mkuu, hii kitu ni very strong na ni kweli tupu kuwa huyu mkuu sasa hivi ukweli ni kwamba ana serikali yake within serikali yetu, sio siri na anayekataa hili basi haelewi kabisa kinachoendelea,

Akiwa waziri mkuu, alikuwa kwenye kampeni toka siku ya kwanza, alifikia hatua mpaka ya kuwaweka makatibu wa CCM wa Tarafa, wilaya, mikoa huko kote ana mizizi mizito haijawahi kutokea, mawaziri ndio kabisaa labda sasa hivi ni mawaziri kama Mwandosya, na wengine wawili au watatu ndio hawamsujudu lakini wengine wote wako chini yake na wanachukua amri toka kwake,

Halafu behind all this kuna a dangerous snake kule Mbeya, ambaye naye nasikia ana almost run our government, na ni rafiki mkubwa sana wa Lowasssa, ndiye the masterminder wa urais wa muungwana, ukiangalia sana na kwa makini siasa za bongo na uelewa wa wananchi, bado tuna mawazo ya awamu ya kwanza ya kuwashambulia viongozi safi na kuwapalilia viongozi wabovu, sielewi jinsi Serukamba anvyoweza kuongea na hata kusifiwa na baadhi ya wananchi, huyu ndiye hasa kiongozi wa wabunge wa lowassa, na sasa hivi wanagawa hela kushoto na kulia ili kuziba uchafu wa Lowassa na kumjenga upya, na wanafanikiwa si umemsikia Anna Abdallah,

Na sasa hatimaye wameweza kum-recruit Mkapa kwenye hilo kundi, na pia kuna viongozi wa upinzani pia ambao wamo kwenye hili kundi, muungwana amebaki na Membe tu, hawa hawajamtenga bado ila wamemuwekea mtego ili aaamue kujiunga nao au kuachana nao, tayari wana mtu wao wanamtayarisha kuwa rais sio yeye lowassa, lakini yeye ndiye kiongozi wa hilo kundi, sasa mwenye nguvu ya kututoa na hili janga ni rais peke yake, ambaye so far haonekani kuwa na msimamo thabiti, kwa sababu viongozi wa chini wanaojaribu kutusaidia wananchi wanapigwa vita sana kiasi kwamba ninaamini kuwa wataishia kujiunga nao tu in the end!

Nina wasi wasi kuwa hawa kina Lowassa, wataishia kushinda! kwa sababu wananchi wa Tanzania hatuko tayari kwa mabadiliko, acha hizi siasa za online mkuu bongo bado sana!

Maneno haya yote si mapya .Mimi Lunyungu niliwaeleza haa yote na hasa nguvu ya Lowasa namaandalizi ya kurudi .bada ya kuona mkakati ule nimeuleta hapa na baadhi ya waandishi wakaelewa alihamia kwenye CCM ndani ambako mimi Lunyungu sina access huko kama Mzee Es.Haya niliyajua nanikawaeleza hapa mchana kweupe mkasema Lunyungu again akina Masatu .Here we are .

Mkuu hili la wapinzani kuwa na Lowasa na kundi la Masha nimelisikia sana lakini mmojawapo ni John Cheyo na wengine kama wapo mwaga hapa maana tuweke ukweli watu wajue washindwe wenyewe .
 
EL hana nafasi tena. Tulishamjua kuwa ni mwizi na tutapiga kelele kwa namna zote akijaribu kuleta jina lake kwa ajili ya kugombea urais au cheo kingine. Na kama ni urais aende akatawale kule kwao Monduli kwa wajinga wenzie waliompokea mwizi mkuu ( sorry sio waziri mkuu )kwa red carpet.
 
Rev.Kishoka,

..kutokana na machafu yote tunayoyajua kuhusu Lowassa ilikuwaje JK akamteua Waziri Mkuu?

..hivi Lowassa na mtandao hawakuwa na baraka za JK kuendesha kampeni chafu dhidi ya wagombea wenzao ndani ya CCM?

..kama JK alikuwa hakubaliani na kampeni zile chafu, basi alipaswa kuachana nao, na zaidi alipaswa kutowafikiria kwa uteuzi wowote ule serikalini.

NB:

..actually mtandao walitupoteza maboya na kutuchukua msukule. tulitumia muda mwingi kumshutumu Sumaye kwa kukodi shamba la eka 7 kibaigwa. wakati huohuo mtandao wakajichotea mabilioni ya fedha BOT, Prof.Mahalu akadonyoa uero milioni 2, na Mkapa akajitwalia mgodi mzimaa wa makaa ya mawe.
 
Ansber Ngurumo - TZ Daima said:
Lakini woga huu uliongezeka pale walipoona Lowassa anawekewa zulia jekundu kwao Monduli! Woga ulizidi walipoanza kusikia akijitetea hadharani. Wakajua wasipofanya kitu, atalipuka na kulipua mambo. Wakaamua kumlipua yeye kwa njia mbili. Kwanza, wakawa wanamtumia wajumbe wa kumpa pole na kumfariji kwa yaliyompata. Pili, walipogundua bado ana kinyongo na kwa hulka yake atazidi kusema mengine wasiyotaka aseme - maana alishaamua kujitetea asife kibudu - wakaingiza nguvu ya dola. Wakamuonya. Akaufyata! Hadi leo najiuliza. Kuna kitu gani serikali inaogopa kwa Lowassa? Kitu gani waliogopa asiseme? Na hapa walipofikia, inawezekana hatasema tena; maana wamemsafisha. Wamemziba mdomo.

Lakini usafi huu wa Lowassa una maana gani pana? Wamemsafisha Lowassa kumlinda mwingine. Na ulinzi huu ndiyo sababu ya NEC kuwatisha wabunge na kuwawekea ‘gundi' mdomoni wasijadili masuala ya ufisadi wa EPA bungeni.
Huu ni uchafu ambao wakubwa hawataki kuondokana nao. Uchafu huu ndiyo asili ya nyadhifa zao. Uchafu huu ndiyo ulaji wao. Ukizungumzwa kwa uwazi, ukaanikwa, hakuna mmoja wao atakayebaki. Hakuna atakayemfukuza mwingine. Na ndiyo maana wamekuwa wakilindana na kuogopana hata mambo yanapokuwa yameharibika waziwazi.

..Mkisoma btn the lines mtajua kinachojiri ktk Tanzania ya leo.
 
Lowasa atarudi madarakani muda si mrefu na anategemewa kuchukua uraisi hapo baadaye.

Kumbukeni Mwalimu Nyerere aliwakataa Kikwete na Lowasa kugombea nafasi hizo kubwa. Hawa jamaa kwa pamoja waliamua kung'ang'ania na kusaidiana kwa hali na mali hadi wakapata nafasi hizo kwa makubaliano ya kuachiana kiti cha uraisi. Hivyo Lowasa anajua kabisa kwamba ni lazima arudi madarakani haraka kadri iwezekanavyo ili iwe rahisi kwake kuwa raisi wa Tanzania.

Alichokuwa anafanya Lowasa katika nafasi ya uwaziri mkuu ni kukusanya pesa kwa kila namna ambazo zingemsaidia katika kampeni yake ya kwenda ikulu. Huo mradi wa Richmond ilikuwa ni moja kati ya njia za kukusanya pesa. Alikuwa ana mipango kabambe kabisa ya kuuza Bandari ili kukusanya pesa za kampeni.

Pamoja na makelele yetu yote bado Lowasa atarudi serikalini na kuchukua madaraka makubwa katika nchi hii.

Tanzania inamilikiwa na watu wachache sana na Lowasa ni moja kati yao.

Mkuu maneno yako yana uzito unaostahili lakini Mungu si wa kuchezewa. Kuna mtu ninayemwamini sana, siku moja kabla ya Lowassa kujiuzulu, nilimwambia Lowassa lazima ang'oke, akaniambia maneno kama yako kwamba ana pesa, watu na nguvu kubwa na hakuna wa kumgusa hadi awe RAIS. Leo hii hata yeye haamini kilichotokea. Ili Lowassa awe rais inabidi yatokee yanayotokea Zimbabwe sasa ama yaliyotokea Kenya (jambo ambalo sitoshangaa) maana wananchi wa Tanzania wa sasa hata huko vijijini wamemuelewa vyema na hatopita. Hata wanaomtetea ni watu kama Serukamba ambaye kwa mila zatu za Kiafrika, namuombea Mungu amuondolee tatizo alilobalo na kuomba Mungu atuepusha vijana wetu wa kiume tulionao wasiangukie katika balaa alilonalo. Siwezi kumsema vibaya maana bado tuna vizazi.
 
Wanabodi,

Mimi sifa zote nam mwagia FMES na hakika mkuu unaona mbali sana...
Nakumbuka mwaka wa kwanza tu Kikwete akiwa madarakani ulituambia kuhusu Lowassa na wapi anakolenga. tena kuna wakati ulisisitiza kuwa upo uwezekano Lowassa anajiandaa kuchukua 2010 akiwa bado Waziri mkuu, hatasuibiri tena 2015 likaja swala la yeye kuunda timu yake against Kikwete hata kabla swala la Richmond halijalipuka...
Nasikitika sana kwamba kuna baadhi ya watu wangu wa karibu ambap walikuwa sana ktk misafara ya Lowassa walijiunga naye...Hawa watu walikuwa wakimng'ong'a Kiwete na ajabu kuna baadhi Kikwete kisha washtukia ama kwa kutojua kawapeleka nje ktk balozi. Lakini bado Kikwete amezungukwa na wanafiki... wanafiki ambao siku moja watamgeuka kama Julius Kaizari..

Lowassa ni mtu hatari sana na bila shaka nadhani hata Mkapa alikuwa akimwogopa Lowassa kuliko Kikwete mwenyewe. Hivi sasa naamini kabisa kuwa Kikwete ni mtu aliyewekwa na watu, ana ubia mkubwa na watu ktkt urais wake laa sivyo hawa watu wasingekuwepo CCM...
Hapa ndipo napompendea marehemu mwalimu Nyerere, watu kama hawa wala wasingepewa nafasi... wangekiona cha moto na pengine kupigwa hata hizo bakora mnazosema kila siku..Hivi kweli rais wa nchi hiii Kikwete akiwapiga bakora watu kama hawa mtasema ni Dikteta!.. Kikwete akiwatia ndani wafisadi wakubwa kama hawa mtasema ni kiongozi mbaya!...
Hili ndio swala ambalo siku zote sikubaliani nalo hata kidogo, watu kama hawa wanatakiwa watumikie Segerea miaka mitano tu inatosha, wakitoka huko watatia akili..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom