Decoder za abu dhabi zinapatikana wapi

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL.
DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia.

Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae

Nashukuru.
 
pitia pitia jukwaa la matangazo kuna mdau aliweka hii kitu anashughulika nazo na kuziuza
sikumbuki jina.
 
Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL.DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru.
Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia.....
 
abu dhabi hawaoneshi epl. Al jaezira ndo wanaonesha epl. Hao unaowataja walipewa mwaka jana na sio mwaka huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom