Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia.....Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL.DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru.
Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia.....