Decoder ya ZUKU inauwezo Huu??

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Polen wadau!Mimi ni mtumiaji wa King'amuz cha Zuku lakini nina maswali matatu kuhusu Decoder ya zuku.
Swali la kwanza je? Decoder ya Zuku inaweza kuunganisha Tv mbili kwa Decoder moja?
Pili je decoder ya Zuku inaweza kurekodi vpindi?
Na tatu,je?Decoder ya zuku inaweza kutumia USB?
Asanteni.
 
Mkuu decoder unayo mwenyewe unashindwa kuikagua? Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa wale ambao bulb ikiungua unamwita fundi.
Kuhusu USB, angalia mbele ya decoder yako utaona tundu la mstatili kama linalotumika kuchomeka flash kwenye pc.
Kuhusu uwezo wa kuunganisha tv 2 angalia kama kuna tundu la duara limeandikwa loop out.
Kuhusu kurekodi angalia kwenye remote control kama kuna button ya pvr
 
Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa wale ambao bulb ikiungua unamwita fundi

Hiyo sentensi imenifurahisha sn.
Pia ajaribu kusoma user manual vzr, nadhani huwa kuna michoro ikionesha part zote za decoder & remote control.
 
wewe inawezekana unatumiia touch screen ulikuwa huna maana hiyo mkuu au ulitaka kusema unataka kutumia kisimbusi cha zuku..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom