SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,843
- 1,841
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa
Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu