DECI na mbegu zetu imeishia wapi, Serikali itujibu hatima ya pesa zetu

kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,648
3,003
Serikali iliwakamata na kuzuilia accounts za DECI na kusababisha maelfu ya waliowekeza kupoteza fedha zao. Je Serikali ndio imetupora au ni lini itarudisha fedha zetu?
 
Mkuu ndo maana hii nchi ni laana kila kitu. Mahakama iluamuru fedha hizo zirejeshwe
 
Mbegu zenu ziliharibika ardhini kwa ukame,mvua haukunyesha muda mrefu na nyie wapandaji mkawa wakaidi kwa kutozimwagilia maji.
 
Manina zao hawa masnitch wa serikalini......kupenda vya bure watapigwa pumbu oneday..........we pesa za watu mnazikomalia kama zenu.........wakati watu waliweka mitaji ya biashara zao.......mikopo........helaza ada.......wengine walifika hadi kuuza nyumba ili wapige bingo........sasa hawa malaya wa madaraka wanaleta za kishoga kung'ang'ania pesa za watu...........mock my words.......hizo pesa zitarudi tu very soon na watalipia tu kuzichukua kama zao......manina
 
Haa Haa Haaaa.... Mwana Umeongea Kwa Uchungu Sana. Pole Sana Man
 
Tunahitaji mabadiliko sasa, Ondoa mfumo wote.. Futa mawaziri walewale., Weka system mpya
 
Subirini cccm tunafanyia kampeni, padlock akipita mtarejeshewa!!
 
Back
Top Bottom