Decent girls wananinyima furaha, drama girls whr r u? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Decent girls wananinyima furaha, drama girls whr r u?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MKATA KIU, Sep 13, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Msaada wadau, inshort mi kijana (me) niko mid 20”s ndo nimeanza safari ya maisha ya kujitegemea few years ago

  Nimeshakuw kwenye mahusiano mara nyingi but hayafiki mbali na mimi mara nyingi ndo mzinguaji as hatu coupe haao girls, wanakuwa too decent to me ambayo wananiboa, my dream girl ni drama girl ambaye mchangamfu exposed ambaye hata marriage ikifika pagumu sio ishu kuivunja, as najua huyo ndo tutawezana kwenye ndoa as nimekulia maisha yaisha ya drama, you cant imagine nimeshagoma sana shule, wazaz vikao kibao ndo shule naenda japokuwa matokeo yakitoka naenda sawa na wasongo as shule nilizosoma zinanilinda , nimesharuka sana ukuta na kuparty hadi DJ anazima mziki, kuna kipindi niligundua password ya credit card ya b mkubwa nikawa daily shangwe hapo nipo form 2 ( yaani full of drama)

  Turudi kwenye topic Kila nikimpenda mdada hata kama namjua ni drama girl unakuta anachange na kuwa decent na kuanza kufosi kunicontrol ili tufike harusi stage wakati mi na decent girls hatuendan as mambo yangu nayajua mwenyewe even when I approach them for fun unakuta wanakolea, youn cant imagine wa mwisho tumeachana juzi baada ya kumgundua ni decent sana na ni bikra nikahisi huyu anifai na nafsi ikanisuta kufanya nae chochote as I am not a good boy although I look decent kwa kuangalia family I come from, kaajira na ka Toyota mapema after varsity,, kanafanya decent girls waone tunaendana kujenga maisha but at the end hata nikijarib kubadilika nashindwa ku coupe na decent lifestyle ya kukaa ndani tu as I need to have fun while my girls are not used to that…

  Wakuu ushauri kwenye hili mdogo wenu nazidi kupotea au niko sawa kwenye searching yangu ya drama girl ? ambaye atleast nimuogope maana najua nikirudi asubuh na yeye anarudi asubuh kesho yake au vurugu lake si mchezo ili anibadilishe life style yangu,, sio mtu ambaye nimekosa mimi but yeye analia tu na kuniomba msamaha yeye wakati mimi ndo mkosaji nakuwa bored
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Si kila mtu kaumbiwa kuwa na ndoa

  Kula maisha, ubaba au kuwa mme ni wito tu kama upadre.

  Au bado una kihoro cha kujitegemea?

  N.B: Ukishindwa kabisa mjaribu Wema (joking)
   
 3. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LOL. haya tafuta hao 'drama' girls, sie tuachie hao waliofundwa na wenye tabia zuri tuwaoe.
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mwaya endelea kutafuta drama gal as it is ur heart's desire. Nimekupenda ulipokataa kumbikiri dada wa watu, and l can tell u have enough decency kiasi kwamba hutaki kuwahurt decent gals.

  Utasettle baadaye, kwa muda live ur life to the fullest with no regrets later. Continue searching for miss drama queen, kwa ushauri zaidi check na Erotica, lara 1 na nani yule aliyepigwa ban l think ni Natalie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Boflo njoo uweke ile sredi yako ya madhara ya bangi za kuvutia chooni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Hapa JF ndiyo penyewe kuna drama gals utakimbia mwenyewe..........eti Kaunga mourodheshee angalau kumi nitakulinda!
   
 7. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  this ain't a joke mjaribu huyu bidada,utafurahi na bwana mr drama boy
   
 8. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kumbeee mpo wengi loh! Yaan kuna kijana mtaani kwetu ana tabia kama zako ila huu ni mwaka wa pili sasa kampata huyo unaemuita drama girl loh! Ni vitimbi balaa lakin maisha yanaendelea wenyewe!
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  give me her number am descent enough to remove her virginity n get married to her please
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaa., hakyanani naonekana chizi hapa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,666
  Trophy Points: 280
  unataka ndoa...hahahah hakuna ndoa na drama gals bali mikataba
   
 12. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ahahaha n'dai like mkuu
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hapo red pamehusu sana

  Nadhani ana mawenge ya ujana bado
  Analipizia alivyokuwa anabanwa banwa home

  Mshale ukigonga 35 akili itakaa mahali pake

  Nina shosti mdogo kwa umri kwangu ila alikuwa mcharuko mcharuko sana
  Clubs hapa mjini alikuwa kama member hivi, from Thursday hadi Jpili
  Tulikuwa tunagombana sana, maana najaribu kumwelekeza hivi yeye anafanya vile
  Anakuja kwa ofisi na mitatuu (removable) basi vurugu tupu

  Jamani, kaolewa na kapata mtoto sasa ni mtu mwingine tofauti kabisa
  Nadhani umri pia una nafasi yake.

   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kama una kipaji hiki cha kushusha mistari hivi ni kwa nini unaziacha pesa za Bongo Star search!? Unafaa sana kwenye ubongo wa Fleva.
   
 15. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Tudadavulie na wewe ya ujana wako ile kuanzia 10 mpaka 25
   
 16. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni vyema MKATA KIU..endelea kuwatafuta hao drama girls ili ukate kiu vizuri.
  Umri bado unaruhusu ukikuwa utaacha.
   
 17. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  dada Kaunga umesahau pia kumtaja DaJane, yule wa rob--- m--ya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  Hahaha..kijana kijana..drama queens never get married! u jus fear commitment ila ndo ujana huo, ukikua utabadilika..for now tafuta kujijenga mwenyewe na sio kwa hela za mama. Then when ur mind has matured enough u can go ahead an look for a life patrner!
  Beware of hurting them ladies in the excuse of looking for a drama gal!
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kuna jane000, goldenmpoolee na wengine wako half damatic half decent hao siwataji. LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kaka home nimeshaondoka toka 2010, najitegemea kwa kila kitu as I have a job ambayo ni dream ya vijana wengi wa kitanzania, inshort nishaanza kujipanga mwenyewe kwa kila kitu, I have a budget to have fun, budget for basic needs and budget for maendeleo as kipato sio kibaya sana na najitahid kwa hilo na ndo sabab ya kupata decent girls as I know what I am doing, lakin tatizo nawachoka mapema as nakuwa bored as hatuna common interest
   
Loading...