December.............

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Huu huwa ni moja ya miezi muhimu na yenye kumbukumbu kubwa sana kwenye maisha yangu, hasa katika mahusiano.


  1. December ndio mwezi niliozaliwa, tarehe ya 25 na kufanya kwa wale wataalam wa horoscopes kuniweka katika kundi la Capricorn.
  2. December ndio mwezi nilioanza rasmi mahusiano na msichana wangu wa kwanza, kama sijasahau "YES" kutoka kwake ilikuwa tarehe 17 ya mwezi huu. Pamoja na mahusiano hayo kuja kufikia tamati baada ya miaka takriban mitatu, napenda nikiri kwamba ndio yaliyokuwa mahusiano yangu bora zaidi niliyowahi kuwa nayo.
  3. December 22, ndio siku ambayo katika mahusiano hayo kulitokea tukio baya kabisa ambalo huenda nilisahau katika maisha yangu yote.

Kwa ufupi December ni mwezi wenye kumbukumbu nzuri na mbaya katika maisha yangu hasa ya mahusiano.......December
 
pole kwa kukupa kumbukumbu mbaya na hongera kwa kumbukumbu nzuri yakupasa ushukuru maana ulikuonyesha raha za duniani kujua ulipo tokea na kunjoy eeebwana huoni raha
 
Sina kumbukumbu kama mwezi huu una lolote kwangu.
"
Labda ninachojua ni mwezi wa mambo mengi ya kimazoea tu!
 
pole kwa kukupa kumbukumbu mbaya na hongera kwa kumbukumbu nzuri yakupasa ushukuru maana ulikuonyesha raha za duniani kujua ulipo tokea na kunjoy eeebwana huoni raha
Thanks Priya, yeah you are right. But a gud thing is mazuri ni mengi kuliko mabaya so its one of the very great months for me
 
Back
Top Bottom