EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Huu huwa ni moja ya miezi muhimu na yenye kumbukumbu kubwa sana kwenye maisha yangu, hasa katika mahusiano.
Kwa ufupi December ni mwezi wenye kumbukumbu nzuri na mbaya katika maisha yangu hasa ya mahusiano.......December
- December ndio mwezi niliozaliwa, tarehe ya 25 na kufanya kwa wale wataalam wa horoscopes kuniweka katika kundi la Capricorn.
- December ndio mwezi nilioanza rasmi mahusiano na msichana wangu wa kwanza, kama sijasahau "YES" kutoka kwake ilikuwa tarehe 17 ya mwezi huu. Pamoja na mahusiano hayo kuja kufikia tamati baada ya miaka takriban mitatu, napenda nikiri kwamba ndio yaliyokuwa mahusiano yangu bora zaidi niliyowahi kuwa nayo.
- December 22, ndio siku ambayo katika mahusiano hayo kulitokea tukio baya kabisa ambalo huenda nilisahau katika maisha yangu yote.
Kwa ufupi December ni mwezi wenye kumbukumbu nzuri na mbaya katika maisha yangu hasa ya mahusiano.......December