Debe moja la alizeti ina uzito gani?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,106
2,504
Wakuu habarini?

Naombeni kuuliza, uzito wa debe moja la alizeti ni kiasi gani?

Naombeni majibu kwa wazoefu

Kazi njema!!
 
Back
Top Bottom