Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
Dear brothers /Sisters hakuna mwanamke/mwanaume mbaya duniani,mwanamke/mwanaume yeyote anayepewa matunzo ya upendo ,kuheshimiwa ,adabu na kusifiwa na mume/mke wake ,humfanya kuwa na nuru na uzuri wa kuitwa Handsome/beautiful .
Hakuna kazi nyepesi kama kupata mwanamke/mwanume bora na hakuna kazi ngumu kama kumtunza mke/mume bora na hakuna utundu mzuri kama kuwa na consistency ya kumpenda na kumuheshimu mke/mume wako.
Karibuni tupate chakula cha ubongo na hitaji la moyo By