Dear Salary, Why are you not growing?

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
182
Kila kukicha vituvyote vinapanda kasoro kamshahara ndio kamedumaa
Salary.jpg
 
Unajua salary bwana anasumbuliwa sana na magonjwa so 2muombe apone.
 
Tatizo sio salary, hawa jamaa wanakuwa bila kikomo, sasa salary atawafuata mpaka wapi? hawa jamaa zake watakuwa na matatizo ya enzymes za ukuwaji zinaendeleza ukuwaji mpaka beyond the age limit. Itafutwe dawa ya kuwashusha sana tu.
 
Back
Top Bottom