Dear John, I forgive you

Nilipokua mdogo, kuna mama alikua mwanachama wa Legio Maria, alifariki siku ya Ijumaa Kuu, wakati wa misa ya mazishi Paroko alisema huyu mama kufariki Ijumaa Kuu ni bahati kubwa, siku aliyofariki Yesu Kristu.

Rais Magufuli laifariki katika mwezi wa Kwaresima, huu ni mwezi wa toba. Kifo katika mwezi huu kina maana kubwa. Ni ishara ya kusamehewa yote uliyoomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu.

Pumzika kwa amani Rais wetu, tumekusamehe na utusamehe. Duniani hakuna mkamilifu.
Nimefurahi sana inatakiwa tuwe na maneno ya kufariji.

Mungu akubariki sana.

Pumzika kwa amani JPM.
 
BAK Lisu naye kaandika obituary moja matata sana. Amepiga spana za hatari. Hebu tuletee maana nimeisoma sehemu nikashindwa kuicopy nilete hapa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bahati mbaya hatujui dini au dhehebu la Mungu.
Nilipokua mdogo, kuna mama alikua mwanachama wa Legio Maria, alifariki siku ya Ijumaa Kuu, wakati wa misa ya mazishi Paroko alisema huyu mama kufariki Ijumaa Kuu ni bahati kubwa, siku aliyofariki Yesu Kristu.

Rais Magufuli laifariki katika mwezi wa Kwaresima, huu ni mwezi wa toba. Kifo katika mwezi huu kina maana kubwa. Ni ishara ya kusamehewa yote uliyoomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu.

Pumzika kwa amani Rais wetu, tumekusamehe na utusamehe. Duniani hakuna mkamilifu.
 
Nilipokua mdogo, kuna mama alikua mwanachama wa Legio Maria, alifariki siku ya Ijumaa Kuu, wakati wa misa ya mazishi Paroko alisema huyu mama kufariki Ijumaa Kuu ni bahati kubwa, siku aliyofariki Yesu Kristu.

Rais Magufuli laifariki katika mwezi wa Kwaresima, huu ni mwezi wa toba. Kifo katika mwezi huu kina maana kubwa. Ni ishara ya kusamehewa yote uliyoomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu.

Pumzika kwa amani Rais wetu, tumekusamehe na utusamehe. Duniani hakuna mkamilifu.
Huu ndio utu, sio kukomaa kurusha kejeli matusi na masimango Mungu akubariki sana njia yetu ni moja
 
Tujiandae kifo Chema
Msamaha hupatikana aliyekosa akiomba msamaha kama hakuomba ni msamaha hewa
Mungu ndiye ajuaye siri za mioyo yetu
Tujiwekee hazina mbinguni kwa kutenda yampendezayo Mungu hivo tu
 
Nilipokua mdogo, kuna mama alikua mwanachama wa Legio Maria, alifariki siku ya Ijumaa Kuu, wakati wa misa ya mazishi Paroko alisema huyu mama kufariki Ijumaa Kuu ni bahati kubwa, siku aliyofariki Yesu Kristu.

Rais Magufuli laifariki katika mwezi wa Kwaresima, huu ni mwezi wa toba. Kifo katika mwezi huu kina maana kubwa. Ni ishara ya kusamehewa yote uliyoomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu.

Pumzika kwa amani Rais wetu, tumekusamehe na utusamehe. Duniani hakuna mkamilifu.
Kwaresma za vatican ni ubatili, Yesu hakuwa Mzungu, Lucifer alibadilisha kalenda.
 
Back
Top Bottom