Dear Jakaya Mrisho Kiwete

Tuandamane

JF-Expert Member
Feb 2, 2008
1,220
52
Pole sana na safari na karibu tena hapa nyumbani, ningependa pia kukupa hali halisi ya hewa ya hapa nyumbani (nikiamini kabisa wapambe wako hawawezi kukupa ukweli halisa maana bado they will simply tell you what you like to hear na pia bado wako juu hawajui hali halisi ya huku chini), moto bado ni mkali, ndo kwaaanza umeanza upya, hali ni mbaya na ni ngumu

Pongezi sana kwa kusoma alama za nyakati kwa kusikiliza watakacho wananchi kwa kutaka Chenge Cents mfukuzwa kazi, nyoosha mkono sasa na kuruhusu achukuliwe hatuna pamoja na wale wote waliohusika katika sakata hili (Unawajua vizuri sana) Jopo uonekane uko serious kidogo

Jambo kuu lililonifanya nikuandikie waraka huu ni kukutahadharisha na kukuamsha kuwa KWANINI UMENYAMAZE MAOVU YA MWIZIO… ooops Sorry MWENZIO BENJAMIN WILLIAM MKAPA??
Hivi ni kweli toka moyoni mwako huoni kama huyu jamaa anakuchafulia?? Hivi huoni kama machafu yote haya ni ya enzi yake naye anahusuka moja kwa moja??


Binafsi nakuonea huruma sana maana hiyo energy unayotumia kumprotect Mkapa, badala ya kukusaidia wewe na yeye pia, mwenzako kule anapeta wakati wewe unaungua, kwanini ubebe mzigo wa mwenzio?? Kwanini nawe usimwage mboga tu mzee???

Hebu njoo mbele yetu, ungama kwa makosa uliofanya (I promise you waTZ watakuwa nyuma yako na watakupa nafasi nyingine), pangua kila kitu, achia vyombo vya sheria vifanye kazi yake(na kabla havijaanza kazi kwamza kabisa mtoe, Hosea na Mwanyika maana sisi wapigakura hatuwaamini) Muweke jamaa (MKAPA) hadharani, mwite mbele yetu aje kujibu maswali, mbona Zambia iliwezekana???

Chukua nafasi ya pekee kumchunguza Mkullo nauone kama anafaakuwepo hapo alipo, nakuapi ahii niaibu nyingine juu yako inakuja, tumia wakati huu wakumteua atakayeziba nafasi ya Cents kumtoa huyu jamaa Mkullo nauweke mwingine ALIE SAFI,

Kwa leo naishia hapa, nasubiri kuona mwitikio wako juu ya waraka wangu kwako

NIKUTAKIAE MEMA
MWANAJAMBOFORUMS.
 
Pongezi sana kwa kusoma alama za nyakati kwa kumfukuza kazi Chenge Cents.


come on!! Amejiuzulu mwenyewe na si kufukuzwa, I still say that Kikwete is not a man enough!!he couldnt do that!!!Wananchi should get the credits for his resignation!!He couldnt handle their pressure
 
come on!! Amejiuzulu mwenyewe na si kufukuzwa, I still say that Kikwete is not a man enough!!he couldnt do that!!!Wananchi should get the credits for his resignation!!He couldnt handle their pressure

Asante, nilitereza, nimeshabadili mkuu
 
JK anajua kila kinachoendelea hapa nchini kwani JF inafanya kazi kubwa sana kumhabarisha, kwa hilo tusiwe na wasi wasi.

Sasa kujua na kuamua kutekeleza ni suala jengine.

Pamoja na kwamba yeye si mtu ambae anapenda kusoma kama ilivyoelezwa na Lipumba lakini muda wa kuptia hapa anao kama si yeye binafsi basi hata wasaidizi wake wa karibu na taarifa anazipata.

KAka ujumbe ameupata tusubiri matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom