Dear God.....

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nakushukuru kwa kunileta tena kwenye jukwaa hili kwa mara nyingine,
Maana ni muda sasa umepita nilikuwa kwenye majukwaa mengine,
Tabu ni kwamba leo niko busy kuliko siku nyingine,
Pamoja na kuwa na kazi mchana bado tena nimeongezewa kazi zingine,
Sina uhakika kama ni kazi tu au wanataka leo isiwe kama siku zingine,

Hata hivyo yote heri, vipi hali zenu wa hapa na hata wale wa kwingine,
Kwa wale wote mnaonijua na hata wale wageni wengine,
Nilikuwepo hapa nikahama na kwenda majukwaa mengine,
Nikaahidi kuwa nakuja hapa kuwacheki na kuwapa hi mara nyingine,
Kama ninavyofanya leo na nitakavyofanya siku nyingine,
 
Story ndeeefuu! Kama unataka kuuza bidhaa iliyomaliza muda!
Nway welcome back again my fellow member ! Unaonaje this time tukupatie na wa kukuliwaza hapa chtcht? Bt as if you wish !
 
Story ndeeefuu! Kama unataka kuuza bidhaa iliyomaliza muda!
Nway welcome back again my fellow member ! Unaonaje this time tukupatie na wa kukuliwaza hapa chtcht? Bt as if you wish !

Mh hawa wa humu hapana labda wale wa majukwaa mengine
 
Story ndeeefuu! Kama unataka kuuza bidhaa iliyomaliza muda!
Nway welcome back again my fellow member ! Unaonaje this time tukupatie na wa kukuliwaza hapa chtcht? Bt as if you wish !

Ndugu yangu Judgement tuangaliage na saa anayopost mtu (assuming yuko bongo), huyu bwana hakuwa chinga kweli?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Judgement tuangaliage na saa anayopost mtu (assuming yuko bongo), huyu bwana hakuwa chinga kweli?
U chinga ni kazi tu kama zilivyo kazi nyingine,
Wewe huna tofauti sana na wale wengine,
Umezeeka lakini unajifanya kama vijana wengine,
Sitakujali sana kama nilivyowapotezea wale wengine,
Endelea na vimeo kama ukipenda nikuongezee vingine
 
Source : Kala Jeremaya !
Hata hivyo hongera manake umejitahidi kwa kiasi chako!
 
Ni style ambyo cjaiona kwa waxanii wengne,
kunavina vkali,vzoto, vyenye mantki zaidi hata kwenye zle nymbo nyngne.
 
Back
Top Bottom